Recent content by TANZANNIA

  1. TANZANNIA

    RAS ni nani?

    Majukumu yake ni nini?
  2. TANZANNIA

    Napendekeza mzee Mpili awe msemaji wa Yanga

    Tumpe credit zake jamani, ndani ya muda mfupi Yanga imeamka,inajibu mashambulizi
  3. TANZANNIA

    Napendekeza mzee Mpili awe msemaji wa Yanga

    At least,sababu ndani ya muda mfupi amefanya utani tulio zoea kati ya timu hizi umerudi
  4. TANZANNIA

    Napendekeza mzee Mpili awe msemaji wa Yanga

    Unaweza kuwa na qualifications lakini ukashindwa kuzitendea haki
  5. TANZANNIA

    Napendekeza mzee Mpili awe msemaji wa Yanga

    Mbona wenye elimu wameshindwa kuisemea?! Simba ilikuwa inatamba peke yake
  6. TANZANNIA

    Napendekeza mzee Mpili awe msemaji wa Yanga

    Tangu alipoibuka ghafla kutoka kusikojulikana, mashamsham yameongezeka sana, Yanga imechangamka, kwanini asiwe msemaji wa yanga ili kushindana na Manara?!
  7. TANZANNIA

    Ikitokea Mteuliwa ni Mpagani, sheria inasemaje juu ya kiapo chake?

    miungu ni wengi,sio lazima aape kwa Mungu wa mbinguni Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  8. TANZANNIA

    Ikitokea Mteuliwa ni Mpagani, sheria inasemaje juu ya kiapo chake?

    Anaweza kumtaja mungu wake anaye mwamini,maana miungu wako wengi, Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  9. TANZANNIA

    unalionaje wazo la adhabu mbadala?

    Ni wazo zuri sana
  10. TANZANNIA

    Wanao hack account za watu wanafanyaje?

    Kwa hiyo WhatsApp sio salama sana kuitumia
  11. TANZANNIA

    Kwanini wafanyakazi hatuna TIN numbers?

    Naona process zimeanza kila mfanyakazi kuwa na tin, Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  12. TANZANNIA

    Weka mbali na wanawake. Ni mfano tu

    Operation ya uti wa mgongo huchukua muda mrefu sana Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  13. TANZANNIA

    Maalum kwa wanawake: Je, ni fahari kutumia jina la mumeo?

    Point!!! Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  14. TANZANNIA

    Ni thread gani iliyochangiwa kwa wingi hapa JF?

    Ni wazo tu limenijia, Kama unaweza kujua ni thread gani imepata wachangiaji wengi kwenye jukwaa lolote.
Back
Top Bottom