Recent content by Tanzaniano Tz

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazidi kujidhalilisha mbele ya Jumuiya za Kimataifa

    Kabudi nafsi inamsuta saana ni jinsi gani anovodhalilisha heshima aliojijengea kwa kumuabudu mtu
  2. T

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Sema kijana 3:23 am
  3. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umeharibiwa na Rais Magufuli mwenyewe

    Hakika yeye ndo muhusika
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Walioigiza mazishi ya CHADEMA wafa kwa ajali

    KARMA......will be serve what u desrve.....
  5. T

    JamiiForums Tanzania Unapenda kuponda na kukosoa wenzako tena waliokuwa mabosi wako alafu wewe hutaki kukoselewa!!!

    Yaaaani jiwe ni mixtape kabsaa aeleweki anasimamia nini?najuta kuomba hii kazi na apo apo anakwambia sijui nikitoka nani ataendeleza haya mazuri.....hahahaha ngoja tuendelee kucount down
  6. T

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Rais Magufuli tunakuomba utoe kauli ya kumkaribisha nchini Tundu Lissu na rai ya kuwafutia kesi za uchochezi viongozi wa upinzani

    Maovu ni maovu tu na watu wakuzungumzia maovu ni viongozi wa dini so we ulitaka ushauri huu autoe lowasa au mbowe ndo kazi zao?vipi kuhusu wewe ambae auna akili timamu mpaka ukacoment ivo kwa kuona baba askofu anakosea kweli we una utimilifu wa fikra huru au fikra fungwa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini katika Mafunzo yoyote yale ya ' Kijeshi ' Wiki Sita za Kwanza huwa mnalazimishwa kutokulala?

    Konkiii xaana iyo point mzazi nilikumisi saaana na kuna ivo vipost vya mfananisho wako niliviona ila kama ni wewe ulikua ndo nazidi kuelewa u game changer wako ulivo katika utambulisho hahaha welcome back babuu/bibii
  8. T

    JamiiForums Tanzania Aliyeumwa na Paka amefariki, dawa ilipatikana Kenya

    Pole xaan mkuu kazi ya Mola tunamini ivo ila next time kuhusu awa mifugo tufuate ushauri wa hao wataalam kuhusu chanjo izoo
  9. T

    JamiiForums Tanzania Marekani amelifanya jeshi la Japan kuwa dhaifu

    Eee
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuijibu Marekani, Uingereza

    Duuuuuh...au ndo majibu yenyewe mmeshaanda ndo unatuletea???maana si kwa utetezi huu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rematch ya esperance na wyadad casablanca

    Habarini wadau?hivi ile mechi ya marudiano ya klabu bingwa africa ni lini na wapi uwanja teule???
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kumfahamu Albert Woodfox

    Habarini wadau,juzi nilikatiza bbc world news nikakutana na hard talk na mgeni mhojiwa alikua ni albert woodfox kwang ndo ilikua mara ya kwanza kumsikia nikasema ngoja nickilize mahojiano yake mpaka mwisho,nilivutiwa na kutaka kujua historia ake kiufupi, Najua iko google but kuna watu humu ni...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi Bulletin: Musiba agoma kuitikia wito wa Polisi kuhojiwa; Polisi wajiuma meno...

    Mi naona ni movie nzuri walivomjibu il8 xaxa afunguke vizuri awatukane tena ili wajue je wenye mamlaka watasemaje ili team yao 2020 ishinde kiuraisi kutokana wenye mamlaka ya ķumbana uyu mazishi(musiba) kumkaushia yaani ccm 2020 patamu saana coz ushindi unaenda upande wa pili vita ya...
Back
Top Bottom