LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,727
- 13,466
Tokea jeshi la japan kusurender na kuwa chini ya uangalizi wa marekani, naona ndio wamekuwa wanyonge japo wana teknolojia kubwa
Kim jong un kila kukicha anayaelekeza maombora yake kwenye eneo la japan kama sehem yake ya kutestia mitambo, hii ni ishara na dharau kuwa japan hawezi fanya kitu
Lakini nawaza kama sio kudondoshwa kwa mabomu na nuclea kule hiroshima na Nagasaki, basi japan leo hii angekuwa na jeshi la kutisha na lakuogopeka sana, huyo mkorea asingethubutu kurusha makombora yake kwenye eneo la japan