Recent content by Tanzanianist

  1. Tanzanianist

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Voi international airport😂
  2. Tanzanianist

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tanzania inakuzidini Kenya high networth individuals je, hao watu wamepata wapi pesa kama sio wafanyabiashara(private sector) fikiri kabla ya kunena
  3. Tanzanianist

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mawe ya Kenya😂😂😂 Nasikia lipo bungoma
  4. Tanzanianist

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    askari wa Kenya(KDF) bwana😂😂
  5. Tanzanianist

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    What is important of that big office if the people starve to death?? I know we all have a long way to go and our countries(Tanzania & Kenya) still have to face the main challenges of poverty, illiteracy and diseases. For me equipping the majority poor citizens with education, rescuing them from...
  6. Tanzanianist

    Ili kupambana na 'CCM Mpya', CHADEMA haina budi kukumbatia Ujamaa

    Naona kuna baadhi ya watu wanakomaa tu mara ujamaa mara ubepari wakati hawana uelewa wa kutosha kuhusu hii mifumo miwili ya kiuchumi. kiukweli Tanzania sio uchumi wa ujamaa tena wala haiwezi kuwa hivyo na hata kama kuna kiongozi atakuja na Sera za kijamaa atashindwa vibaya mno kuendesha nchi...
  7. Tanzanianist

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    I love this man so much
  8. Tanzanianist

    Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

    Babu aliniambia ukifanya kitu kila MTU akakupinga endelea hicho kitu in kizuri. Babu huyo
  9. Tanzanianist

    Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

    Mngemtukana pia kwamba amejenga kigongo feri hospitali wanadamu hawana jema
  10. Tanzanianist

    GE2020 Lissu: Watanzania sio kwamba hawana akili bali Lugha ya kufundishia ndio shida, Elimu yetu inabidi ifumuliwe na lugha ya kufundishiwa iwe moja

    China wamewekezaje? wameacha kichina na kufundisha kingereza tuu au wanaendelea na kichina chao na kujifunza kingereza pia(if yes mbona ndo ilo analokataa lisu?) For me tunahitaji lugha zote mbili kiswahili kama lugha yetu na kingereza kama lugha ya kimataifa, ni kweli hatuko fluent in English...
  11. Tanzanianist

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Bonge ya idea mkuu let's do that
  12. Tanzanianist

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hii si tu ni hatari kwa Kenya Bali kwa Africa nzima.
  13. Tanzanianist

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ndg zangu swala la mpangilio wa makazi ni tusimlaumu magufuli ni la miaka mingi kuanzia miaka ya tisini, kwa kweli kama kuna kitu awamu zilizopita hasa ya pili tatu na nne ni kushindwa kuwa na mpango mzuri wa makazi, na inasikitisha kuona kuwa hii idara ya mipango miji ilikuwepo. Binafsi sijaona...
  14. Tanzanianist

    GE2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

    Katika sentensi moja bila shaka unamaanisha kuboresha mazingira ya uwekezaji na urahisi wa kufanya biashara "easy of doing business " kwa kiasi Fulani nakubaliana na wewe lkn kwa upande wangu naona tatizo liko asilimia 95% kwa taasisi zinazotoa huduma yaani wale wahusika na asilimia 5%tu kwa...
  15. Tanzanianist

    GE2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

    Watakuita MATAGA, Lumumba na majina mengine mengi kwa sababu you speak the facts. #wapuuze
Back
Top Bottom