Hata km imeshatumika ni ya kwake we ya kwako isotumika iko wapi!! Congrats baba tiffah ww ni mfano mzuri wa kuigwa kw 7bu wengine hata kibanda cha nyasi hawana kazi povu tyu wameumbwa kutosaport wenzao hata wakifanya kitu kizuri
Lingekuwa la uchawi angeliweka live kila ataeingia alione bila ck kupita kumuongelea Simbaa hamjauza magazeti yenu basi kazi mnayo watanzania tupo nyuma sana mtu akifanikiwa tu mchawi kwa hiyo furaha kuendelea kuwa masikini badala ya kuwa na wivu wa maendeleo tuna wivu wa kudis mali za wengine...
Usikute huyu akitoka kazini ndani ya gari vioo tinted hasalimii hata majirani zake hajui kwamb ukipata shida uck wa ma8 jiran yako ndo wa kwanza kukusaidia ndugu wapogo mbalii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.