Amzalisha nduguye kwa upasuaji baada ya kukosa daktari hospitali, mzazi afariki (picha zinaogofya)

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,067
Imetokea Cameroon... Mtu kapeleka dada yake hospitali kwa ajili ya kujifungua ila hakukuwa na aktari wala nurse akafariki... Dada akaamua kumchana nduguye ili aokoe watoto, walikua mapacha.

Mjamzito apoteza maisha baada ya kukosa msaada wa doctor, ndugu aamua kumpasua ili kuokoa maisha ya vichanga.

20160317234510.jpg
 
View attachment 330591
dah!
 
Mh jaman nimeumia kweli wanawake waheshimiwe VIP watoto walipona
 
Imetokea Cameroon... Mtu kapeleka dada yake hospitali kwa ajili ya kujifungua ila hakukuwa na aktari wala nurse akafariki... Dada akaamua kumchana nduguye ili aokoe watoto, walikua mapacha.

Mjamzito apoteza maisha baada ya kukosa msaada wa doctor, ndugu aamua kumpasua ili kuokoa maisha ya vichanga.

View attachment 330591
Yesu na Maria na yosefu, uwiiiie uwieeee jaman uwiiie
 
Vp watoto walipona?
Watoto walifariki pia.

Gendarmes Saturday, March 12, 2016 in Douala arrested five suspects over the death of a pregnant woman, Monique Koumate and her twins.

The gendarmes arrested the midwife and two nurses who were on duty at the maternity ward at the time of the incident, the Chief mortuary attendant and the junior sister of Koumate.
They were detained at the Akwa-South Gendarmerie Brigade.
 
Hili tukio si la kawaida.

Nampongeza sana Dada wa marehemu kwa ujasiri mkubwa alioufanya kuokoa maisha ya vipacha.

Pili nampa pole huyo Dada wa marehemu pamoja na ndugu zao, marafiki na jamaa wanaomfahamu, kwa kuondokewa na kipenzi chao.

Tatu nawalaumu sana Madakatari wa hiyo Hospitali, inawezekanaje kutokuwepo hata Daktari mmoja au wawili, iwapo Madaktari wengine, kwa mfano walipata udhuru.

Inasikitisha sana, siku zote ndio maana tunaonekaana sisi Waafrika hatujitambui, hatujielewi, kutokana na mambo kama haya.

Huu ni uzembe wa Hali ya juu, kifo kipo, hakihepukiki, nakubali, hilo halina mjadala. Lakini uzembe nao unachangia kwa kiasi fulani.

ALLAHUMMAGH FIR LAHAA WAR HAMHAA WASKINAHAA FIL JANNA
 
Back
Top Bottom