Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,563
- 21,665
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 32 mkazi wa Kijiji cha Chungu, tarafa ya Ihanja, wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumbaka mara tatu Bibi kizee mwenye umri wa miaka 84.
Pichani ni Bibi kizee akiwa amebebwa na mmoja wa ndugu zake wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya mjini Singida kutoa ushahidi katika kesi hiyo ya ubakaji.