Noma? Mwenzako Ridiwani Kikwete alikuwa mgawaji huko kwao China. Muulize nini kilichomsibu mpaka akafuatwa usiku usiku na mkuu kwa hela za wananchi na pengine yupo tu anamcheka mteja wake. Unga siku zote ni majanga. Ila wasanii wa bongo wanajilostisha sana na makamuzi wakati muziki wenyewe ni wa kukopi na kupaste tu na haudumu hata kama ilivyo kwa vitu feki.
Wabongo wengi wanapenda sana mtu awe na jina kubwa halafu afeli aishiwe kabisa...
Ila akiwa katika peak ya carrier yake tuseme kama Diamond sasa hivi ... anafanya vizuri ila kuna mijitu imekaa inatamani tupate chidy benz wengine...
Ujumbe.... ni kwamba tuwasupport wasanii wetu wakiwa juu maana wakishuka huwa ndo byebye.. the same goes to them, ukiwa juu ukashindwa kutengeneza pesa usije kumlaumu mtu kama kina Daz baba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.