Vending machine zinapatikana kwny platform ya Alibaba.
Bei yake inategemea na aina ya vending,Kuna vending ya maziwa inauzwa 7.5M,Kuna snack vending inauzwa kati ya 3M-2M,Kuna za maji zina range 4M-1.5M,unaweza kuingia kwny website yao.
Fanya service based business(SBB)
waajiriwa wengi wanafanikiwa zaidi kwny biashara ya kutoa huduma kuliko ya kuuza bidhaa..
Mifano ya SBB
1)ride sharing services ie bolt,Uber,Kama una usafiri wako you can try this after working hours.
2) courier-unaweza kuwa courier wa Amazon au alibaba...
Mifumo ya fedha kibongo bongo inaumiza.
South Africa,Average business loan interest rates at banks range from 6.6% to 11.5% ila bongo inaenda mpk 25-30% hii ni komesha,2025/26 tunahitaji mapinduzi makubwa kwenye financial sector.
Kitu pekee ambacho mwajiriwa ana kosa ni "leverage power'
Formula ya faida ina kitu cha ziada ambacho hakipo kwenye formula ya mshahara.
Scenario 1
Mshahara =X/t(unalipwa Tsh x kwa mwezi)
njia pekee ya kupata hela nyingi ni kufanyakazi miezi mingi zaidi.
Scenario 2
Faida=QX/t(unapata faida...
Ni Kama nakuskia ukisema,njia Bora ya kuishinda malaria ni kuua mbu wote duniani na sio kuelimisha watu namna ya kujikinga na kutunza mazingira.
Uliposema,watu hawana elimu ya biblia...uko right!hapo ndio tatizo limeanzia,hosea 4:6"my people are destroyed for lack of knowledge"
huwezi kumzuia...
Yesu hakuleta dini wala dhehebu,alileta ufalme wa M-ngu na alikuja kujenga kanisa,hizi dini na madhehebu ni ustaarabu wa kibinadamu.
Hata tunaposema"kanisa" tuna maanisha"muunganiko wa kiroho wa waamini,sio jengo,suala la kujenga majengo ni ustaarabu wa kibinadamu.
Mathayo 11:27"....
Hakuna...
Kwahiyo unataka kuniambia hiyo average waliipata bila kuhusisha matumizi ya fedha ya mkopo?,amini usiamini debt inachukua sehemu kubwa zaidi kwenye matumizi kuliko cash
Ni ngumu kuweka kipimo kimoja kiwe relevancy kwa watu wote na nchi zote.
binafsi sioni mantiki ya kupima umaskini kwa kuangalia matumizi,nadhani wangeangalia kipato,yaani wangesema "mtu anayeingiza chini ya dola 3 per day huyu ndio maskini" hapo at least inge make sense!
Kicho kipimo chao kipo...
Tabia ya mtu inatengenezwa akiwa under 12,baada ya hapo,%kubwa mtu anafata tu misingi aliyojengewa for 11yrs.
Kuna makosa mengi ya kimalezi yalifanyika huko nyuma and we become victims lkn kwa kuwa maisha yanaendelea,always there is another chance.
Umri huo wengi wako chini ya wazazi na...
Ukiacha mafundisho ya kidini,malezi ya wazazi na misingi ya maadili ya kijamii,the only thing to discipline a human..is through knowing and fulfilling his/her vision.
If you don't have a vision to chase,you will chase destruction.
If you don't stand for something,you will fall for anything.
Mwanamke ni emotional being....
Hisia zake zinapoguswa negatively lazima ata react.
Jitahidi sana kulinda hisia zake,moyo wa mwanamke ni too delicate(easily broken)
So ukitaka kuuza kitu,hakikisha vipo zaidi ya kimoja,Kama ungekuwa na nyumba mbili au tatu na unataka kuiuza moja,sidhani Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.