Neno likijulikana na wengi, na jamii ikilikubali, huwa tayari ni neno rasmi. Tunaweza kusema, kwa mfano, ..... ni Mandela wa Tz, au .... ni Shakespeare/Shaaban Robert wa zama hizi.
Hivyo, tunaweza kusema pia: "Walimu vihiyo lazima ...."
Labda tuchukue mfano hai. Mabasi ya abiria ya jijini...