Namba Plate ni mali ya mwenye Gari.. Waliogoma ni Madereva..
Kwani huu Mgomo wenye magari wanashiriki?
Je Polisi kubandua hizo Namba Plate itasaidia kumaliza huo Mgomo?
Tanzania ya Mama Samia
Divide and Rule inafanya kazi..
Watu hawako pamoja..
Ukinyanyua Mdomo unashughulikiwa wewe peke yako..
Hakuna atakayejitokeza kukusaidia.
Kila Mtu analinda Roho yake Kwa hofu kuu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.