Nifanyaje wakuu hali mbaya sana?

Nifanyaje wakuu hali mbaya sana?

Nani amesema usijiiue... amekosea sana ungejiua tu hizo shida za kulala makaburini siku saba usingepata ungelala milele
 
View attachment 3626130
Hivi viakaunti vipya vipya vinafanya JF iwe fesibuki sasa😁
Usilolijua kaka ni kiza ,hivi vijamaa vinafurahisha sana .
Anyway tuendelee kuvipa ushauri tu .

Wewe Muendesha katapila pole kwa hayo ila mapenzi hayalazimishwi kama vipi tafuta mwingine ,japo najua kumuacha mwanamke mwenye jina la khadija ni ngumu uwa ni kama wana dawa ila ukijikqza uatqzoea tu
 
Jiue kwanza tu Mkuu, wakati tunaendelea kutafakari Nini Cha kufanya..
 
eti umetoa 4m kwa mtaalamu nonsense.. nikiwa na iyo ela huku mtaan kwetu namiliki kina khadija 7, amina 12, mariamu ndo usiongee.
 
Ndugu zangu naombeni ushauri baada ya kuachwa na Khadija mwanamke ninayempenda sana.

Sasa Kuna mwamba mmoja alinipeleka kwa mtaalamu tukafanya mambo, nimelazwa makaburini siku 7 mfulilizo na mtaalamu amekula zaidi ya ml 4 lakini kinachoniuma mpaka sasa inakaribia mwezi sioni majibu yeyote.

Bibie bado ameniblock😭😭, nikimuuliza mtaalamu anasema ntakuwa nimekosea mashariti, nimekosa mbinu. Wakuu na hapa Kazini Saini mchina amenichoka amenisimamisha kazi, na hela zangu zinakaribia kuisha, kibaya zaidi nikienda kazini nashindwa kufanya kazi kichwa kinamfikiria huyu Binti maymivu moyoni,

Nisaidie
Limbukeni wa mapenzi acha kuwa zoba achana na uyo mwanamke sio type yako
 
Back
Top Bottom