Mfumo wa maisha ya sasa na mambo ya uchumi ni mambo hayana uhalisia ..Ukipiga hesabu biashara za halali bila dhuluma, utapeli ,wizi sio rahisi kuendelea ..Hata nchi kubwa zote zinafanya dhuluma kwa wadogo kwa kiasi fulani.
So ukipata nafasi itumie kikubwa upate chochote ,ndio maana kuna mpaka...
Hao jamaa wana shobo sana ..Mwaka huu wameanza kulaumu mufti 😅😅Sasa hawa wana inferiority complex kabisa.
Hizo sikukuu zao wala hazina hamasa ,yaani hapo Dar tu utaona kama hamna kitu..Ila juzi hapa Dar kulijaza mpaka watu walizimia baadhi .
Tatizo nyie wambea ,mnafuatulia mambo ya waislamu kuliko yenu..Naona wakristo mnamshambulia mpaka mufti kuhusu kwezi mwandamo😅😅..Sisi zenu ni Sheria na tena ni universal nyie wivu tu.
Siasa za ofisi zinamaliza kitu ,ukifika baadhi ya ofisi hata wale wachapakazi wameshachoka na kuanza kuishi kama vilaza.
Yaani unashangaa yule mtu mvivu anapelekwa sehemu nzuri yenye maslahi ,hawa wapambanaji kama wanatengwa
Miaka saba kwa rate ya 17% means interest yake ni 119% ..Utarudisha 21,900,000/= bado kuna chaji nyingine na hiyo mil 10 utapata Pungufu ; watakula processing fees na insurance ya mkopo kitu kama hicho. All in all jiandae kurudisha milion 22 ila kwa rate ya interest 17% kwa mwaka kama zaidi ya...
Wakati wenzio wanasoma kuhusu compound interest wewe ulijifanya mjuaji...kama riba ni 17% ina maana ni mwaka mmoja ,ila the more years of repaying the higher interest you face.
Kwa Taasisi ni hizi ;
Taasisi chini ya wizara ya fedha (Hapa ni kuanzia BOT na baadhi zile za ukaguzi hasa ofisi ya CAG japo mishahara kawaida. kuna watu wanakula rushwa kama TRA na ofisi ya ukaguzi.
Taasisi chini ya wizara ya Madini na nishati - Kwenye hii kama wote wanakula pesa mpaka kuna...
Hna silaha mpya kamaliza hapo ,imebaki nuclear ..Acha uongo😅😅zile ndege zake B-2 zinaparaza tu tangu mwaka jana ,zimeshindwa hizo blockbuster ni kiande labda kupiga kwenye majengo.
Kwa taarifa yako ,sasa kuna ndege mpya wameforce itengenezwe fasta ...zile B-2 zimeshindwa zaidi ya kuweka vumbi...
Kanisa wanahusika kwa asilimia 90 kama unabisha rudi shule kwanza .Nawachukia sana hao ,walitaka kufanya mapinduzi kwa kushawishi watu... wameshindwa wanaandika taarabu.
Shoga unalia nn 😅😅mmeuliwa mbona hajaandamana tena ? Wajinga wanekimbia nchi ...Nyie vibonde na TEC yenu ...Mtu ana tumbo kubwa kama mke hana analitoa wapi hata kukimbia hawezi ..Eti anachochea maandamano..
Dhambi zenu zimepelekea mkafa vibaya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.