Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 864
- 1,273
Ukiona "Rais" anajisifu hadharani kubwatuka mjue hapo mmekabidhi urithi kwa teenager.
Hii Katiba mbovu iliyopo italeta madhara zaidi huko mbeleni.
Uwezo wa Samia kuchambua na kukabiliana na mambo ni mdogo sana halafu ghafla anajikuta ana mamlaka makubwa. Ni HATARI SANA. TENA SANA.