Recent content by Tamu3

  1. Tamu3

    JamiiForums Tanzania Hakuna Watu wanapata shida kama bodaboda wa Mafinga nyakati za Usiku

    Siku utembelee Mufindi ndani ndani upate debe 3 za parachichi na 2 za apple
  2. Tamu3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hiyo hatari
  3. Tamu3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Shida hapo ni lugha , mchanga wa lugha huyu anayebisha
  4. Tamu3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwanini
  5. Tamu3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwanini bro
  6. Tamu3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hatari sana
  7. Tamu3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakupenda wewe shani

    Kwanini bro?
  8. Tamu3

    JamiiForums Tanzania Penzi la mwana wa Bosi

    PENZI LA MWANA WA BOSI 1 Nipomaliza la saba, litorokea mjini, Mguuni nina raba, na kibegi mgongoni, Nauli ninayo haba, nimeweka mfukoni, Penzi la mwana wa bosi, menitia matatani. 2 Gari zuri tukapanda, kuelekea mjini, Shauku ilinipanda, kuondoka kijijini, Nauli nikailinda, nisiibiwe mjini...
  9. Tamu3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda Priska

    Hahaha hahaha ha
  10. Tamu3

    JamiiForums Tanzania Fedha za mauzauza

    FEDHA ZA MAUZAUZA 1. Tulikuwa kijiweni, tukizogoa zogoa, Umbeya tukipigieni, tukiyapisha masaa, Bia tamu tukinyweni, pia soka kichambua, Fedha za mauzauza, menitia ulemavu. 2. Mara mtu akapita, shanga nyingi zi shingoni, Kati yetu akamwita, machache kiulizweni, Akaja bila kusita, karibu...
  11. Tamu3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi la mwana wa bosi

    PENZI LA MWANA WA BOSI (sehemu ya kwanza) 1 Nipomaliza la saba, litorokea mjini, Mguuni nina raba, na kibegi mgongoni, Nauli ninayo haba, nimeweka mfukoni, Penzi la mwana wa bosi, menitia matatani. 2 Gari zuri tukapanda, kuelekea mjini, Shauku ilinipanda, kuondoka kijijini, Nauli...
  12. Tamu3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakupenda wewe shani

    NAKUPENDA WEWE SHANI Nakupenda wewe Shani, shairi mekutungia, Kila napokuoneni, nashindwa kukuambia, Nikwambie neno gani, ujali zangu hisia, Nakupenda wewe Shani, shairi mekutungia. Watembea kwa maringo, nyuma umefungashia, Unaizungusha shingo, madoido waachia, Fungua chako kifungo...
  13. Tamu3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda Priska

    NAMPENDA PRISKA Nampenda Priska, shairi namtungia, Mwili umetakasika, hakika anavutia, Sauti akitamuka, hoi mie nabakia, Nampenda Priska, shairi namtungia. Macho yake ya gololi, Mungu mempendelea, Kimtazama kwa mbali, anarembua rembua, Kama anapenda wali, mie tamnunulia, Nampenda Priska...
  14. Tamu3

    JamiiForums Tanzania Akufaaye kwa dhiki

    AKUFAAYE KWA DHIKI 1. Hapo za kale zamani, hadithi inaanzia, Kijiji cha ndani ndani, mume na mke likaa, Nyumba yao ya majani, humo waliishi pia, Akufaaye kwa dhiki, huyo rafiki wa kweli. 2. Walikuwa wakulima, wafugaji vile vile, Walizalisha mtama, nawo kwa wingi mchele, Wakajawa na heshima...
  15. Tamu3

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mkulima

    KIFO CHA MKULIMA 1. Hadithi nawaletea, sikiliza kwa makini, Zamani kulitokea, porini kundi la nyani, Mitini walirukia, mara juu mara chini, Nyani walifurahia, kwa kifo cha mkulima. 2. Waliposikia njaa, lienda huko shambani, Mahindi wakachukua, kurudi nayo porini, Wakanywa na maji pia, kwenye...
Back
Top Bottom