Recent content by Tamatheo

  1. Tamatheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana, epuka mwanamke aliyeharibika akili usijejuta

    Hilo wala haliitaji tafiti Mr Nyenyere kwani ukweli ndio huo. Wengi humu watabisha kwa kuja na mifano ya wachache waliolelewa na mzazi mmoja ila wengi wao wamepotezwa au wameharibika. Wazazi wawili maana yake ni mizani yenye kumfanya kijana kuelewa mambo mengi ya pande zote yaani ubabani na...
  2. Tamatheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanandoa au kwa wanaotarajia kuwa ndoani

    jangala .. Afadhali leo umeiongelea ndoa kama taasisi yenye raha pia. Vijana wengi hawapewi kabisa upande huu hata kama imetokea ndoa ikavunjika ila lazima tukubali ndoa ndio chanzo cha familia bora na maadili kwa vijana. Hainisumbui sana kujua tabia za kijana nikishaitazama jamii aliyotoka hasa...
  3. Tamatheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanandoa au kwa wanaotarajia kuwa ndoani

    loooh!!! sio kufanana huko..duuuuh!!! Utafikiri unaniongelea. Big up pacha mwenzangu wa uchumba na ndoa...
  4. Tamatheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninafeli wapi? Wana jamvi karibuni kwa ushauri

    Kuna wanawake ambao wana ndoa za mizimu hivyo ktk ulimwengu wetu hawaruhusiwi kuolewa. Nilishawahi kusimuliwana na mhusika kabisa japo alirest in peace ila alinifungua mengi sana ya huko ulimwengu mwingine. Hivyo ukilazimisha saaana anaweza kukubali ila utajuta hadi siku una RIP.
  5. Tamatheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Urithi oyeeeeeeee

    Mh!!!!!!!
  6. Tamatheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

    Kama hujaona tofauti basi pole sana ndugu.. Ila ukiuliza mwanaume kamili hatakuacha bila nasaha.
  7. Tamatheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninafeli wapi? Wana jamvi karibuni kwa ushauri

    Atakua sio mkamilifu ila wewe bado kipofu kuelewa hilo..pambana utajamshukuru..
  8. Tamatheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

    Hii story yako nahisi tofauti na ya yule.. Embu jaribu kuoanisha kwa ukaribu zaidi..[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
  9. Tamatheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

    Ila nahisi ulipobugi ni pale ulipoendelea kumtegemea kwa bills kama za umeme, DSTV, et al huku yeye aliamini kwa kukupa biashara taratibu utamwacha huru na kujitegemea. Mwanamke mjanja lazima ujitaidi kumpunguzia mwanaume stress za matumizi yako au ya familia. Uwe makini kwenye new relationship..
  10. Tamatheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Sidhani kama kuna ukweli wowote. Nafsi za wanadamu hazijawahi fanana hata kama ni jinsia moja. Kila nafsi inaishi na kitabu chake hadi inapoondoka duniani. Usitumie fikra ndogo kupambanua mambo makubwa, zaidi utazeesha ubongo.
  11. Tamatheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta/nahitaji mchumba

    Ulishaoa au bado uchumba kiongozi. Na kwa nini bado unaongelea uchumba wakati mipango ilikuwa 2018? Je umemsitiri na umefuata nasaha za Mungu muumba kwamba ngono hadi baada ya ndoa?? Au kuna utofauti??
  12. Tamatheo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa mila, tamaduni na desturi za Wakaguru

    Kabila halijawahi isemea nafsi ya mtu. Usimchunguze sana bata, hutomla wewe furahia utamu wa nyama yake then over.
  13. Tamatheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuolewa na Mwanaume Bahili, Mchoyo na Mbinafsi

    Wanaume wa namna hiyo ni wale weka mbali na mabinti. Kama ukiwaza kuolewa naye hakikisha umejiandaa maana bahili aachi asili asilani.
  14. Tamatheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI JUU YA KUOA!

    Maneno mazuri sana kwa vijana ila ungeongezea na.. 11. Usioe kukidhi tamanio la umbo (chura, wembamba, urefu, ufupi, weupe, weusi) iko siku vyote havitaongeza thamani zaidi ya upendo wa dhati.
Back
Top Bottom