Ninafeli wapi? Wana jamvi karibuni kwa ushauri

Ninafeli wapi? Wana jamvi karibuni kwa ushauri

Geeeezzz! ! Huyo ana hesabu zake na mtu mwingine mkuu -- don't waste your time
Mkuu nimejaribu kumdadisi na kuongea naye lkn ameniambia hana mtu mwingine, hata ushahidi wa kimazingira nao unanoneaha kabisa kwamba hayupo, na hata kama yupo basi ni kwa wizi
 
Atakua sio mkamilifu ila wewe bado kipofu kuelewa hilo..pambana utajamshukuru..
Inaweza kuwa, na kama zipo basi zinavumilika maana kama miezi tisa sijaona tatizo lolote, basi matatizo yake yanavumilika
 
Mpe mimba chap kwa haraka atahamia mazima
 
Inaweza kuwa, na kama zipo basi zinavumilika maana kama miezi tisa sijaona tatizo lolote, basi matatizo yake yanavumilika
Kuna wanawake ambao wana ndoa za mizimu hivyo ktk ulimwengu wetu hawaruhusiwi kuolewa. Nilishawahi kusimuliwana na mhusika kabisa japo alirest in peace ila alinifungua mengi sana ya huko ulimwengu mwingine. Hivyo ukilazimisha saaana anaweza kukubali ila utajuta hadi siku una RIP.
 
Kuna kitu hapo kina fanyika ilatu we hujui,..

Nahichi kitu ni "Assessment and Evaluation"
 
Andaa kadi ya kumualika kwenye ndoa yako ila iwe feki hiyo kadi.
Uone atakuwa na emotion gani?!?
Akiku maindi ujue utamuowa, akichukulia poa basi tafta mke mwengine uowe na yeye muache kabisa wala usipashe kiporo yaani mpotezee.
 
Pole na changamoto mkuu.Sema unanishangaza kidogo.Kwanini unaongea kama vile ni haki yako au ni lazima huyo dada kukubali umuoe.Si na yeye ana maamuzi yake? Sema jamii yetu huwa hatukubali ukweli. Yani tupotupo tu, hata huyo dada ukute ana mtu wake,hakwambii.Si ajabu ana jamaa yake yupo mbali,au wamezinguana so,anatuliza stress kwako.

Kama hutaki kuja kupungua uzito kwa stress, acha kujishaua unapenda sana, osha rungu, chukua time.Kama ni wale wazugaji atakufuata tu.
 
huyo atakuwa na mtu wake serious ila yuko nje ya nchi, ww unapasha joto kiporo ili mwenyenacho aje kukimiliki jumlajumla
 
kuolewa kwake huk starehe anazpenda n kama kutoka harus huk dj akianza kupiga zioe nyimbo za Michael Botton na Celn Diones
 
Mkuu mpaka natangaza ndoa nimejiridhisha pasi na shaka kwamba anafaa kuwa mke haswa
Mkuu,you don't have a problem,she has,and until you see her doing stuff you couldn't have imagined,you will see her as an Angel.Believe me still water Runs Deep.!!!!Think Think Think Tashwishi!!!
 
Back
Top Bottom