Wadau mie niliisoma hiyo stori kwenye gazeti la THE CITIZEN...Story imeandikwa na Dr Lwaitama mwenyewe....hilo sakata halijamkuta yeye ila ni abiria mwingine (mzee) ambae walikua nae ktk ndege hiyo ambayo hakuitaja jina.....na anasema mzee huyo alionekana kama ndo 1st time anatumia aina hiyo ya...
Kama wataka kitambi kiishe kwa mkeo, haina haja ya kuhama dar we acha buku moja ya matumiz kwa cku ili matembele na majani ya maboga ndo iwe mboga kuu humo ndani
Kwani mavazi ndo kazi?.....mbona wenzetu wanapga vimini, jeans na kazi zinaenda kama kawa?
Mnawazuia kuvaa afu mkienda dodoma mnavutiwa na hao hao pale udom
Duh huu sio ubinaadamu hata kidogo.....kuna watu wanaona bora wamwage chakula kuliko kumsaidia mwenye njaa,
Hao wamemtapisha but kuna wengine wanamwaga chakula mbele ya asienacho.......mi cjui roho hii ngumu inatoka wapi jaman, hata kama ni uchoyo hiyo too much...
Madaktari wamefanya yao......mpe nafasi MUNGU pia afanye yake, shirikisha ndugu wa karibu mfunge kwa maombi,
pia mpeleke kanisan...., trust mi..MUNGU hashindwi na kitu chochote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.