Nilikua naangalia Tbc aridhio kuna kijana jina limenitoka kutoka kigoma amenivutia mno kwa vitu anavyovifanya pamoja na mazingira anayoishi ikiwa ni pamoja na nyumba haina umeme lakini ameweza kufanya mambo mazuri cha kwanza ni ameweza kutengeneza mtambo wa kurusha matangazo/radio channel yake...
Shule gani michango ni 500 au 1000?? michango ni mingi inaweza fika adi laki moja na zaidi kwa mtu anaeingia kidato cha tano sasa usifikiri vipato vinafanana, na hoja ya msingi basi mwanafunzi asirudishwe atleast apewe muda wa kulipa
Kuhusu michango ipo pale pale tena unakuta michango ni mingi, kwakweli wajaribu kuangalia ili swala na pia mzazi apewe muda wa kulipa taratibu kama michango itashindwa kuondolewa au kupunguzwa.
Unajua ile ni mojawapo ya conditions walioiweka lazima uattach certified transcript kama ya diploma,degree,postigraduate n.k,sasa kama hujaiattach usipoitwa usije ukacomplain but ikitokea umeitwa kwnye interview kule napo wanakagua sasa sjui utajitetea vp labda mkaguzi akuonee huruma useme...
I was asking myself why even the way he dressed is like he is living today, sasa kumbe kuna watu wanaedit why watu wanaangaika kuedit pics za Tupac ni kwamba hawaamini kwamba jamaa amekufa au[emoji28]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.