Recent content by Takson

  1. T

    JKT: Mchezo wa ndama utaamsha madume

    Jiridhishe kwa hayo na nafsi yako iridhike kuwa unaongea ukweli, kwamba matumizi ya SAR na hizo nyingine ulizoandika yako tofauti!!!
  2. T

    Picha: Zitto, Lipumba waleta Anguko rasmi la CCM Mkoani Mtwara

    Hivi huko Zitto si ndo alienda na ACT? Watanzania siyo wakuwaamini sana, maana tumeyaona kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
  3. T

    Tanzanian priest arrested in child prostitution sting in the United States

    Mkuu, kanisa halijawashikilia kuwa hawawezi kuuacha utume ili waoe. Wakitaka kuoa wanaruhusiwa ila kwanza wavue kanzu wawe waamini. Katika kadirio la wakatoliki bilioni moja point mbili, kuna mamilioni wanaume ambao wameoa na bado wanatambulika kama waumini. Kanisa linasema ukitaka kuwa padre...
  4. T

    AIDS Day:Message HOT

    Hivi huwa najiuliza, kuna familia haijakumbwa na dhoruba ya hii kitu?
  5. T

    Kasinde on holiday

    Hajakosea, ni eneo jipya la dunia limevumbuliwa na Vasco Da Gama.
  6. T

    Wafanya usafi maofisini

    Mkuu hata kama unakaa masaki usiwadharau wanaokaa Tandale kwa mfuga mbwa. Usafi ni kazi kama kazi nyingine. Hongera kwa kuyashinda majaribu ila si kwa sababu ni msafi, ila ulishinda kwa sababu ya 'DHARAU' zako. Na kwa taarifa yako kuna wale si wafanya usafi na hawagawi koridoni za ofisini tu...
  7. T

    Nimemkataa baba mzazi, na sitaki kupima DNA

    Hongera kwa uamuzi mzuri! Nakushauri baada ya mama kutulia muulize what happened mpaka ikawa hivyo? Yaani ilikuwaje ulelewe na baba mwingine? Utakuta mama ndo alimdhulumu baba yako mzazi haki ya kuwa na wewe na kumpa huyo baba mlezi jukumu la kukulea. Baba mlezi alikuwa anajuwa kuwa wewe si...
  8. T

    Nikaribisheni basi.

    Asante sana!
  9. T

    Nikaribisheni basi.

    Sina fujo mimi mkuu!
  10. T

    Nikaribisheni basi.

    Asanta, miye kibabu lakini mjukuu!
  11. T

    Nikaribisheni basi.

    Wajameni nimepita hatua zote muhimu na kuruhusiwa kupitia mlangoni. Nikaribisheni basi nnapokuja humu. Hodii
Back
Top Bottom