Kasinde on holiday

Kasinde on holiday

Hahhha ntakuletea shost wako, nadhan utamwonea huruma

We mlete tuu

bora useme weye shem, sijui katoka kwao kuja kunipikia!?? ka chakula ata kwetu nlipikiwa lol!!!


Ahhhha mpe talaka yake akaheme huko lol
 
Hapa niko on the way to vacation nikifika ntawajuza habari za huko. This time sea shell hahahaa, asante mola kwa kunipatia riziki hii nakula ujana. Likizo time ndo hiyo niwatakie MMU wote Happy Festive Season mie ndo hivo nshaanza kuinjoikuserebuka hureeee.

.

Sea shell ila ntatua mahali flani (Abu Dhabi) kwanza kwa siku7 kisha niende sea shells. Karibu twende life is to live, lets enjoy and have fun.

Hapana shaka, akitokea msea shell akajichanganya tunapiga mechi kama kawa ya Kasie. Simulizi kwa sana, kaeni mkao wa kusimuliwa.

Panaitwa 'Seychelles' lakini....
 
I just love u, i wonder how but heart beats doubke. Ngabu, I promise I wont do what you dont.
Am enjoying, here United Arab Emirates with their sikukuu za uhuru uuuh wish u were here..... missing u....badly... muah!!
Not a problem.

I hope you are having a bang-up time.

Just don't do anything I wouldn't do (and there isn't a whole hell of a lot that I wouldn't...)
 
Last edited by a moderator:
I just love u, i wonder how but heart beats doubke. Ngabu, I promise I wont do what you dont.
Am enjoying, here United Arab Emirates with their sikukuu za uhuru uuuh wish u were here..... missing u....badly... muah!!

Hahahaaa you are crazy! Crazy like a fox, that is.

Next time around I want you, me, and my little miss lady to go on a cruise in the Bahamas.

Are you game?
 
Back
Top Bottom