Recent content by takeurabu

  1. T

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    wanapotoa hizo comments mbona wanasahau kusema histori kuwa umasikini tulio nao sasa wao ni sehemu ya kisababishi? walipo gawana bara la africa kama njugu 1884/1885 pale Berlin, na kuzitumia rasilimali zetu (ikiwemo rasilimali watu) watakavyo kwa kuendeleza miji yao mikuu kama vile London...
  2. T

    Tumewagalagaza tena CCM!!

    mimi naona habari yenyewe haina mashiko, ni upupu mtupu; kwanza hivi ni vijiji vya wapi? Tanzania kweli?
  3. T

    Dr. Mwakyembe, ni maradhi tu?

    anaogopa uvunjifu wa amani nchini kwani wananchi wa mbeya wameshatangaza kujitenga na tanganyika iwapo watabaini kuwa kuna hujuma zimefanywa dhidi ya viongozi wao
  4. T

    Mh Dr Hamisi Kingwangalla: unasemaje kuhusu kufukuzwa Intern Doctors Muhimbili?

    Ninavyomjua mimi huyu jamaa ni mpambanaji ispokuwa anakwamishwa na part cocus!
  5. T

    Mlimani hapashikiki, mtu kwa mtu

    mkuu una maana ya kuwa UDSM nacho kimeshakuwa chuo cha kata kama UDOM?
  6. T

    Jaji Werema: CUF wamevunja Katiba

    hapo kwenye RED! ndugu yangu inaonesha wewe katiba ya JMT huijui yaani huo mkutano hata ungefanyika Makka bado maamuzi yake yatajadiliwa na katiba ya JMT na wala si katiba ya zanzibar kwa sababu mambo ya vyama vya siasa si miongoni mwa mambo ya Zanzibar wa Tanganyika ni mambo ya kimuungano hivyo...
  7. T

    Jaji Werema: CUF wamevunja Katiba

    AG Werema ana mamlaka zanzibar kwani yeye ni mwanasheria mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa tanzania; Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itasughulikia mambo yasiyo ya kimuungano ya Tanaganyika na mambo ya yaliyo ya...
  8. T

    Madaktari Walio Katika Mafunzo MNH Wapewa Barua ya Kufukuzwa Kazi

    suluhisho la tatizo hili si kugoma, bali MAT wana nafasi kubwa sana ya kujadiliana na serkali ili kurekebisha hali hii; tufikirie pia maisha ya watu wagonjwa iwapo mgomo utafanywa nchi nizima
  9. T

    Niliyoyafanya tangu niwe Mbunge-Shukrani kwa WanaJF

    mimi siukupongezi kwanza mpaka unifafanulie mabo yafyatayo: 1. ninvyofahamu mimi wabunge wa viti maalum huchaguliwa/kuteuliwa kutokana na mikoa: iweje katika kazi zote ulizozifanya zijikite katika jimbo la Kirombero? vipi kuhusu maeneo mengine yanayounda mkoa wa Morogoro yanawakilshwa na mbunge...
  10. T

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    bila shaka katika mpambano huo lazima mtoto wa mjini EDO ataibuka kidedea nani asyejua kuwa CCM ni nambari one?
  11. T

    Shibuda: Maaskofu muacheni Rais afanye kazi

    mlimkaribisha wenyewe huyu mzee wa mwiha kwa uroho wenu wa kutaka kuongeza majimbo ili muongeze ruzuku! Leo tena hai enhee!! Ninyi ndio hamfai kwa sababu hamjui kuchagua wagombea bora! Mnakurupuka tu eti shibuda! Hamjui hata alipotoka, wala historia yake! T 2015 CCM
  12. T

    Godbless Lema Agombee Urais

    Rais wa Chama cha Majambazi Tanzania (CMT)
  13. T

    CUF Wanachekesha; Wanapendekeza mabadiliko ya muswada...!

    CUF kama Chama kikuu cha upinzani nchini lazima kitoe changamoto kwa chama tawala
  14. T

    CHADEMA kutoa msimamo mzito leo; Ni baada ya rais kusaini muswada wa upatikanaji wa katiba mpya

    Naona wewe ndio unatakiwa kuweka kumbukumbu zako sawa kwanza maana hakuna chama kinachoitwa NCCR-manunuzi kama ulivyoandika
  15. T

    CHADEMA kutoa msimamo mzito leo; Ni baada ya rais kusaini muswada wa upatikanaji wa katiba mpya

    CDM kusheny! niliwahi kusema humu JF kwamba: CCM proper ni CCM A; CUF=CCM B; CDM=CCM C; NCCR=CCM D; TLP =CCM E; UDP=CCM F; Vyama vingine vilivyobaki vyote= CCM G UKIJIULIZA KWA NN NCCR MAGEUZI YA 1995 (Ambapo akina Mbowe waliwahi kuwa wabunge kupitia chama hicho) ILISAMBARATIKA utapata jibu...
Back
Top Bottom