Mh Dr Hamisi Kingwangalla: unasemaje kuhusu kufukuzwa Intern Doctors Muhimbili?

measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,782
2,406
Mwaka 2005 tukiwa intern pale Muhimbili tulipata matatizo ya kutokulipwa Kama ilivyo leo. Dr Hamisi alikuwa kiongozi na tulishiriki wote kufuatilia wizarani, tukagoma, wakatishia kutufuta usajili. Leo wadogo zetu madaktari yamewakuta. Wewe una maoni gani kwa swala hili na unaishauri nini serikali inayoongozwa na chama chako? Ukiwa Kama mjumbe
 
Mwaka 2005 tukiwa intern pale Muhimbili tulipata matatizo ya kutokulipwa Kama ilivyo leo. Dr Hamisi alikuwa kiongozi na tulishiriki wote kufuatilia wizarani, tukagoma, wakatishia kutufuta usajili. Leo wadogo zetu madaktari yamewakuta. Wewe una maoni gani kwa swala hili na unaishauri nini serikali inayoongozwa na chama chako? Ukiwa Kama mjumbe wa kamati ya Afya ya Bunge unaona wizara imechukua maamuzi sahihi kuwatoa hawa Intern Doctors Muhimbili? Lengo ni nini?
 
Huna namba zake? E mail address yake? Mtafute hata facebook basi maana sina uhakika kama yumo humu kwani inahitaji mtu makini sana kuwa huku.
 
Mumhurumie jamani alitunisha misuli juzi kati hapa akitetea wachimbaji wazawa dhidi ya mwekezaji kule Nzenga magamba wakambabikiza kesi kama 1000 mpaka murder aisee,akaja lalama hapa jf
 
who is Kigwangalla at all??he is nobody jaman just a normal person at Tabora cant have nothin to share so far he is at CCM,do u think can do what??can u tok abt Makamba Junior??
 
Said Bagaile aka Dr Hamis Kingwa.... Hamna kitu pale, yasije mkuta mambo ya Kafulila na Hamad.
 
Mumhurumie jamani alitunisha misuli juzi kati hapa akitetea wachimbaji wazawa dhidi ya mwekezaji kule Nzenga magamba wakambabikiza kesi kama 1000 mpaka murder aisee,akaja lalama hapa jf

Yaani huyu jamaa hamna kitu naona ccm wanasikitika kwa kumbeba, nadhani na yeye ashajijua anatafuta umaarufu kwa wananchi ili mwaka 2015 walau wampe kura kwa mgongo wa chama kingine, Nzega 2015 ni Bashe kwa ccm piga ua galagaza.
 
Back
Top Bottom