Recent content by Tajirilakichaga

  1. T

    JamiiForums Tanzania Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

    Hahaha...alafu jamaa alikua hata aoni noma, alikua anasema kabisa gari ya sister, alafu uwezo wa sister kipindi hicho alikua hawezi kabisa kununua spasho new model kwa pesa yake wala mkopo.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

    Vits, passo, spasho, Nadia, murano, plats, ni Magari yanayoendeshwa sana na wanawake, hayajaandikwa popote for ladies, ukiona mwanaume anaendesha basi ujue kuna sababu zifuatazo: 1. Hana uwezo zaidi ya hapo, Akipata tu pesa zaidi atauza anunue chuma cha kiume 2. Labda home ana gari ya 'kiume'...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hongera TRA kwa kuweka Kikokotozi ambacho ni user friendly

    Hakikisha invoice iko chini ya cif yao waliyoweka kwenye kikokotozi, hata kama itapishana basi ni kwa kiwango kidogo tu, binafsi hua natumia hizo excel na zinanisaidia
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hili gari BMW 7 limerogwa?

    BMW 1series...haka kagari si mchezo, 1600cc tu ila kina mambo makubwa, nikitaka kununua gari za hitla ndio ntanunua hako
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mercedes G 63 AMG 6*6 sold out, Naam

    Nadhani hujanielewa boss, namaanisha G class iko vizuri sana ila sijui kwanini katika mijadala ya best SUV hua hawaizungumzii kabisa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mercedes G 63 AMG 6*6 sold out, Naam

    G class iko vizuri, lakini kina bulldog huwa hawaitaji kabisa wakiwa wanajadili best SUV
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kiumbe gani kinachokutisha maishani na usingependa kukutana nacho milele?

    Msouth ndio kiumbe wa kuogopa sana kwa sasa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Membe: Hakuna mtanzania aliyefariki kwa vurugu za Afrika Kusini

    Shame on you minister...kauli nyepesi kwenye maswala mazito
  9. T

    JamiiForums Tanzania Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

    Duh, mkuu unaongea kitaalamu sana, mi sina utaalamu wowote wa sheria na siko upande wowote ila kwenye comments zako najifunza mengi. Tatizo ni moja tu, usitukane bhana...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi Afrika Kusini: Bidhaa zao Kugomewa, Makampuni Kufungwa

    Pumbafu sana hawa wasouth.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini Vs Afrika

    Waziri husika yuko bize na mipango ya kampeni, hakika Tanzania itakua ya mwisho kutoa tamko.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wa Dar wanapenda sana kula vyakula hivi?

    Mleta mada naona umewalenga wanaume masharobaro, wengi wao bado mabachela etc. Mimi Niko dar na sili hivyo vitu vilivyotajwa na mleta Uzi, hao sato na sangara mnaowataja huko Mwanza hapa dar ndio mboga yetu kuu na ndio maana mabucha yamejaa kila kona.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Josephat Gwajima akana utajiri wake

    Jaribu kukutana na mfuasi wake uone jinsi wana imani Kali, wanamtetea baba yao si mchezo, wanaweza kurusha ngumi, yani hizo Mali anazomiliki Gwajey wanasema anasingiziwa na pia wanang'ang'ania kusema muacheni mtumishi wa Mungu. Kuna kanisa LA mnigeria mmoja lipo karibu na clouds fm mikocheni...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Very well said, ishu ni kusafiri safari ndefu na kama you think unapenda ku-overtake ovyo basi safiri na powerful engine car sio kuovertake na vipasso na visuzuki kei
  15. T

    JamiiForums Tanzania Sipendi - Special thread

    Sipendi kabisa udini... Sipendi mwanaume kuombaomba pesa au ofa bar...
Back
Top Bottom