Recent content by tactitian

  1. T

    Tabora: Watumishi wapewa barua bila kulipwa

    Baadhi ya watumishi katika idara ya afya wilayani kaliua,wamepewa BARUA za uhamisho kufuatia agizo la mkuu wa mkoa huo ndg aggrey mwanri lakini kumbe halmashauli hiyo haikuwa na fedha za kuwahamisha watumishi hao na kuishia kuwa usumbufu kwa watumishi hao na familia zao,,Rc inatakiwa aingilie...
  2. T

    Natafuta friji. Je, brand ipi ni nzuri na bei nafuu?

    Okey mzee naomba elimu kdogo kuhusu frost na compressor
  3. T

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba kujua ni kampuni gan ya betting ukiondoa betpawa na 1xbet yenye kuweka mechi kutoka mataifa ya Africa?
  4. T

    Watumishi wa umma Kibondo mmepata mshahara?

    Hata halmashauli ya kaliua bado mishahara haijatoka
  5. T

    Binadamu anapokufa ni lazima atoe kinyesi , mkojo, mbegu za kiume ama za kike

    Mkuu kwa uelewa wangu mdogo kuhusu sayansi ni kuwa,mtu anapokuwa ktk hatua ya kuelekea kwenye kifo,nerves na muscles zote huwa znarelax badala ya kucontract km kawaida,zikirelax ndo huruhusu kinyesi na mkojo vitoke kwa sababu hakuna kinacontrol tena km kawaida,ni hayo tuu ndg Sent using Jamii...
  6. T

    Wakati watumishi wa Kisarawe walio ajiriwa kuanzia mwaka 2012 hawajawahi kupanda madaraja lakini Mbeya Jiji wamepanda wote hadi wa mwaka 2013.

    Ilikuwa pamoja na wiraya ya urambo kabla haijagawanywa mkoa wa tabora Sent using Jamii Forums mobile app
  7. T

    Wakati watumishi wa Kisarawe walio ajiriwa kuanzia mwaka 2012 hawajawahi kupanda madaraja lakini Mbeya Jiji wamepanda wote hadi wa mwaka 2013.

    Siyo kisarawe tuu hata kaliua ni hivyo hivyo pia,watu wanapanda kwa mjuano wengine hakuna hasa idara ya afya ! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. T

    JPM kiboko, walinzi wa kampuni binafsi wengi wana shahada ya kwanza na wengine ya pili licha ya maslahi ndogo. Sasa kuchagua kazi hakupo tena.

    Yaan nchi hii tunaombeana umaskin tuu,mtoa mada mwenyewe kwa post yako ni maskini wa kutupa kwa sababu maskin siku zote huombeana na hufurahia shida za wengne Sent using Jamii Forums mobile app
  9. T

    Wataalamu wa afya msaada tafadhari

    Any help? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. T

    Wataalamu wa afya msaada tafadhari

    Naomba kusaidiwa kuwa ni kwa nn ugonjwa wa maralia hauwekwi ktk list ya magonjwa ya kuambukiza km HIV?,au vp mtu akifanya mapenzi na mgonjwa wa maralia na michubuko kwa wote ikatokea si wale maralia parasite wataenda kwa mtu wa pili pia na kumuambukiza maralia? Au mtu kuongezewa damu yenye...
  11. T

    Wataalamu wa afya msaada tafadhari

    Naomba kusaidiwa kuwa ni kwa nn ugonjwa wa maralia hauwekwi ktk list ya magonjwa ya kuambukiza km HIV?,au vp mtu akifanya mapenzi na mgonjwa wa maralia na michubuko kwa wote ikatokea si wale maralia parasite wataenda kwa mtu wa pili pia na kumuambukiza maralia? Au mtu kuongezewa damu yenye...
  12. T

    Waliowahi kuacha kazi serikalini bila kuaga njooni hapa mnipe uzoefu

    Mh,haya Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom