Tabora: Watumishi wapewa barua bila kulipwa

Tabora: Watumishi wapewa barua bila kulipwa

tactitian

Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
15
Reaction score
5
Baadhi ya watumishi katika idara ya afya wilayani kaliua,wamepewa BARUA za uhamisho kufuatia agizo la mkuu wa mkoa huo ndg aggrey mwanri lakini kumbe halmashauli hiyo haikuwa na fedha za kuwahamisha watumishi hao na kuishia kuwa usumbufu kwa watumishi hao na familia zao,,Rc inatakiwa aingilie Kati kuondoa utata huo uliopo,naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom