Kapime DNA uhakikishe watoto wote ni wake ndo uanze mchakato wa Talaka usije ukaaibika kumbe njembe nilanasa tetesi mtoto mmoja kati ya hao wawili sio wake.
Yes he got some point, kwahiyo Lowasa ndo alitakiwa kumkaribisha Mwenyekiti kama ni hivo based on Seniority. Mimi nahisi, mwenyekiti kukubali mualiko na kukaa mbele tayari inaifanya shughuli ya Chama, ilibidi protocal za Chama zifuatwe. Angekuwepo Mkuu wa Mkoa protocali za serikali ingekuwepo...
Cha msingi ni amani ya Watanzania, chaguo lao hakiwezi kupingwa wala kujadiliwa katika Mahakama yoyote chini ya jua, maana hiyo haki yao ya kuchagua whether wrong or wright to me. Demokrasia ndo garama yako hii kuwa wananchi wanaweza kumchagua kiongozi yeyote hata mjinga/zezeta lakini kazi ya...
Huyu jamaa anacheza na akili zetu, kwa matatizo kama haya sio rahisi kupata muda wa kuandika Jamii Forum. Hii ni series kwahiyo haiwezi kuisha next baada ya hapa utasikia mke wake anamchepuko and all kinds of games.
Of course, mleta mada is kinda smart be true or fake story but very informative. Mkuu mimi niliandika mwanzoni kuwa HR ni triple center, unalink Wafanyakazi, Mwajiri na Serikali. Uko katikati ndo maana katika kila kampuni HR lazima awe mzawa ni sheria za nchi. Kwahiyo usifanye maamuzi ya...
Be extremely careful with this matter, the evidence presented to you about the matter must be anything but hear-say. You must make an informed decision not because the white-guy saw them. Obtain physical evidence about these 2 individuals conduct.
If you have to obtain their email...
Human resource does not have to disclose anything to anybody if he/she feels employee's right/provacy will be violated. In the matter of fact, you can even hid the information from the boss if he/she has an interest in the matter. So be, DO NOT disclose any information abt this incident to...
Nakumbuka nilikuwa ndo tunamaliza mock ya form four kuna dogo form one anatuambia kuna meli imezama, watu wakaanza kumtukana atoe definition ya boat. Hiyo itakuwa boat sio meli. Nilipiga simu home kuomba nauli maza analia. It was terrible....
I just dont like Kenyans period. They are the most hypocrites creatures of our time. Yaani if I were a president even for Two hours, my first operation i would have commanded would have been "Operation rudisha nyang'au".
Mkurugenzi kagoma kuongozwa na darasa la saba. Mbunge la saba, mwenyekiti wilaya CCM la saba, mwenyekiti halmashauri la Tatu... Hii itakuwa wilaya kweli? Halafu mtu mwenyewe mmasai piga ua namba tatu hana chake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.