Kwanini unauza Sasa kwa bei ya hasara...ukame ndio umeshaingia njaa yaja..Mahindi yatafika sh. 100,000 kwa gunia hivi karibuni...wakulima wamwshindwa kulima mwaka huu...kuwa na subira
Mahindi yatapanda bei sana hivi karibuni...mwakani hali ni mbaya...kuuza kwa 50000 bado ni hasara kubwa. Kama una ghala wewe hifadhi. Ukame ushaanza Kenya...
Watu Hawali milo mitatu siku hizi..umasikini umezidi...ndio maana mahindi hayatoki. Walishaharibu masoko...it is hard to get masoko tuliyokuwa nayo wakati wa kikwete...
Baada ya kumaliza uokoaji, mabalozi wetu wachukue hatua kuzifahamisha hizi nchi kuwa Tanzania mahindi, maharage, mbaazi ni bwelele...kwahiyo waje tu kununua.
Wakulima Tanzania wangejipanga wangekuwa watu wenye nguvu sana. Kama wakulima ni asilimia 70% ya watanzania hakuna mtu anaweza kuchukua madaraka bila ya kura zao. Wakulima inabidi wafunguke macho waangalie nani anasera za kuwanufaisha. Mkulima wa mahindi atayeipigia CCM 2020 aache kabisa...
Tanzania inasikitisha sana. Mkulima hana haki na mazao yake. Serikali ndiyo inamuamulia auze wapi...just think about that for a minute....Tutaendelea kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.