Tofauti ya bei ya vyakula kipindi cha Kikwete na sasa Magufuli. Kupungua huku kwa bei ya chakula Rais Magufuli anahitaji hongera

Mkuu, mbona umeweka bei ndogo sana kwa JK?

Kipindi cha JK dar unga ulikuwa unafuka hadi 2,000 kwa kilo, mchele ulikuwa unagonga hadi 3,500 kwa kilo.

Magufuli hatakagi ujinga wa wafanyabiashara wakubwa kutengeneza uhaba wa bidhaa alafu wanaachia kidogokidogo kwa bei kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhindi yanalimwa na wafanyabiashara Wakubwa harafu wanayachia kidogo kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mishahara imebaki palepale .....hongera sana
Sasa kama gharama za maisha zinashuka mshahara uongezwe wa nini..? Huduma za maji zipo..siku hizi mkazi wa ubungo, manzese, mbagala ndoo ananunua 50/= badala ya 1000/=, umeme analetewa wa senti 10/=, unga na mchele ndio huo bwerere, huduma za afya kaletewa hadi mlangoni vituo vya afya, dawa za kutosha hakuna habari ya kanunue dawa duka lipo nje hapo mkono wa kulia, nauli ziko pale pale..hata mwezi wa 12 zimezibitiwa tofauti na miaka ya nyuma, mwendokasi ulitakiwa upande kwa tsh 2000, ila huu mwaka wa tatu unapanda kwa tsh 650..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka soko kubwa la vyakula lilikuwa nje ya nchi, bei za vyakula kushuka kiasi hiki ni pigo kwa wakulima wa Tanzania ambao ndio 80% ya watanzania wote.

So mpaka hapo fanya tathmini kushuka kwa bei za vyakula ni pigo kwa politician yupi.
Wakulima na walaji wapi wapo wengi? Bei ikipanda ni kundi gani linaathirika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika swala la kilimo hasa cha vyakula kati ya mkulima mlaji, na mkulima mfanyabiashara, kubalansi huwa shida mlaji hupenda kupata chakula bei poa na mfanyabiashara hupenda kuuza chakula bei juu apate faida kipi hasa kinafaa kwa jamii kupanda kwa bei anufaike mfanyabishara au kushuka kwa bei mlaji afaidie kwa afya yake....

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema watakuambia ipande..ili wapate kwa kutokea..huku kwa mkulima wanajiona wako wachache..wanaona aibu hata kuandika mitandaoni..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukinagalia picha kubwa ni kwamba kila sehemu vitu vimeshuka au biashara zimefungwa, sasa unless kwa mtu ambae amekuwa programmed kutetea tu lakini uhalisia ni kwamba watu hawana hela na relation yake na production itashuka (thats just the law of physical flow in economics) there is a lot of evidence on that hata mikopo ya investment imepungua; pamoja na motisha ya kuwekeza kutoka kwa wafanyabiashara hela hakuna kitaa.

Kupinga maamuzi ya kuzuia hela za serikari kutumika ovyo au kupokwa na watu wachache sio busara pia uchumi auwezi chochewa na ufisadi again unless kwa mtu ambae amekuwa programmed kupinga tu.

Having said that serikari ispojipanga hali itazidi kuwa mbaya mbeleni kwa wakulima; iwapo asilimia sabini yetu ni wakulima maana yake tunawazalishaji wengi kuliko watumiaji, ukijumlisha na hizi sera za kuwawekea ugumu kuuza nje nchi inabaki na chakula kingi kuliko mahitaji swala ambalo lipelekea bei kushuka.

Lazima wajiulize beitashuka mpaka wapi maana itafika sehemu bei anayopewa mkulima ni hasara kwake kutokana na gharama alizotumia kuzalisha. Na hili linaonekana ni tatizo tayari sehemu zingine ndio maana unawasikia wabunge wazalendo wenye kuwajali wengine kama akina Bashe wakiwasemea hali ya mkulima kwa bei anayopewa ni mbaya kumuokoa inataka serikari itoe ruzuku kwao au price floor wasipate hasara (binafsi sikubaliani na suluhisho lake as a long term that is for another day).

Kushuka kwa bei za chakula ni kielelezo namba mbili ya kuwa mzunguko wa hela umepungua na umeathiri watu wengi, kanuni ya 'elasticity of demand' inasema watu wanapopungukiwa kipato upunguza matumizi kwenye vitu ambavyo ni luxury, lakini consumption capacity ya mahitaji muhimu ubaki kama yalivyo chakula ikiwa ni sehemu ya itaji na bei zake sokoni ubaki kama zilivyo provided the equilibrium of demand and supply is the same.

Kwa ivyo kushuka kwa hizi bei maana yake kushuka pia kwa marginal propensity to consume and purchasing power parity and all this is not good for multiplier effect ambapo uoni physical flow inaweza improve vipi.

Bado ujamlisha matatizo ya serikari kuingilia uzalishaji, maamuzi ya kukurupuka sukari tu ime wipe out almost 600 billion kwenye mzunguko interms of price inflation hela ambazo watu wangenunulia vitu vingine, korosho imetoa pesa ya kutumia kwa wakulima, serikari pia imechelewa kupata zaidi ya $500 ambazo ingeweza ku-inject kwenye uchumi, investment nyingi za tija na lazima kwa sasa zina withdraw hela katika mzunguko kushinda ku inject (unaweza elewa hapa kwa sababu ya ulazima wake) halafu kuna investment zingine za ovyo ambazo kama ndege ambazo hazina multiplier yoyote zaidi ya kuiongezea serikari gharama ambazo sio za lazima.

Uchumi wa tanzania kwa sasa ni shambolic to say the least na hali itaendelea kuwa mbaya kwa jinsi kila mtu anadhani anajua what is best kuanzia diwani mpaka uongozi wa juu katika harakati hizo wanaboronga tu wakati nchi ina wataalamu..
Mkuu kula like

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Mahindi kipindi cha JK kilo tsh1200 sasa JPM tsh1000

2. Mchele kipindi cha JK kilo tsh 2000 hadi 2400 JPM tsh1400 hadi 1800

3. Maharage kipindi cha JK tsh 2400 hadi 3000 sasa kipindi cha JPM tsh 1600 hadi 2000

4. Bei ya nyama na samaki bado haijabadilika

5. Bei ya sukari imebakia katika tsh 2400 tangu ilipo poromoka mwaka 2016 na chumvi imebakia ile ile

Licha ya hujuma kwenye mafuta ya kupikia bado Serikali imepamban na bei kubakia ya kipindi cha JK.

MY TAKE

Kama hali itaendelea hivi basi ni 2020 JPM atapata ushindi ambao haujawahi kuonekana kwa eneo la maziwa makuu
Unawaza kulakula kama ngedere tu.Uwe unawaza na future yako itakuwaje!
 
Mkuu, mbona umeweka bei ndogo sana kwa JK?

Kipindi cha JK dar unga ulikuwa unafuka hadi 2,000 kwa kilo, mchele ulikuwa unagonga hadi 3,500 kwa kilo.

Magufuli hatakagi ujinga wa wafanyabiashara wakubwa kutengeneza uhaba wa bidhaa alafu wanaachia kidogokidogo kwa bei kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema vyema mkuu. Labda tuulize hawa wanaojifanya watetezi wa wakulima leo. Ni lini mkulima aliwahi kupewa bei nzuri kwa mazao yake zaidi ya kunufaisha madalali na waweka stock? Miaka yote tumeshuhudia mkulima akipewa bei ya kutupa kisha wenye mitaji yao wanaweka stock kwa stock ili wapandishe bei ya mazao. Hongera Rais kwa hili. Mkulima anapata chake na mlaji anapata chakula kwa bei rafiki..
 
1. Mahindi kipindi cha JK kilo tsh1200 sasa JPM tsh1000

2. Mchele kipindi cha JK kilo tsh 2000 hadi 2400 JPM tsh1400 hadi 1800

3. Maharage kipindi cha JK tsh 2400 hadi 3000 sasa kipindi cha JPM tsh 1600 hadi 2000

4. Bei ya nyama na samaki bado haijabadilika

5. Bei ya sukari imebakia katika tsh 2400 tangu ilipo poromoka mwaka 2016 na chumvi imebakia ile ile

Licha ya hujuma kwenye mafuta ya kupikia bado Serikali imepamban na bei kubakia ya kipindi cha JK.

MY TAKE

Kama hali itaendelea hivi basi ni 2020 JPM atapata ushindi ambao haujawahi kuonekana kwa eneo la maziwa makuu
Mbona hujasema bei ya mafuta ya petrol, diesel na kerosene, bei ya nguo, na bei ya vifaa vya ujenzi, au kwa vile unapanda daladala na unaishi nyumba ya kupanga ndo maana hujui bei ya vitu vingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Mahindi kipindi cha JK kilo tsh1200 sasa JPM tsh1000

2. Mchele kipindi cha JK kilo tsh 2000 hadi 2400 JPM tsh1400 hadi 1800

3. Maharage kipindi cha JK tsh 2400 hadi 3000 sasa kipindi cha JPM tsh 1600 hadi 2000

4. Bei ya nyama na samaki bado haijabadilika

5. Bei ya sukari imebakia katika tsh 2400 tangu ilipo poromoka mwaka 2016 na chumvi imebakia ile ile

Licha ya hujuma kwenye mafuta ya kupikia bado Serikali imepamban na bei kubakia ya kipindi cha JK.

MY TAKE

Kama hali itaendelea hivi basi ni 2020 JPM atapata ushindi ambao haujawahi kuonekana kwa eneo la maziwa makuu
Pia ikumbukwe tangu alivyoingia madarakan hakuna ajira yoyte aliyotangaza zaid ya kufukuza watumishi, misimu minne ya wanachuo tangu wamalize chuo kwa kada zote bila ya ajira na kila mwaka unemployment rate inazidi kupanda.
Je, unavyofikili kupungua kwa bei ya vyakura bila ya watu kua na ajira wanaweza kumudu hizo gharama?
Na juz tulitangaziwa na serikali imekamilisha viwanda 3600, je, ktk viwanda hvyo wanao operate ni marobot? Na je , vinazalisha nini? Na je rais hajavizindua? Maana nivyojua rais anavyopenda kuzindua Vitu wala asingeshindwa kuzindua viwanda,
Kiufup changamoto ipo kubwa kuliko alivyovifanya.
Na ndio maana RAIA wa hali ya chini wanamkumbuka kikwete kama alikua mkombozi kuliko hii awam.
Awam hii wanafanya Vitu ambavyo multiply effect yake INA negative kubwa kuliko positive. Sasa changamoto hiyo 2020 ataipata kwa vijana ambao ndo kundi kubwa wamehitimu chuo kwa kada mbalimbali na mpaka sasa hawana ajira. Hilo ndo kundi litakalo msumbua coz sio rahisi kijana amemaliza chuo then kwa ushawishi UPI akupe kura yake?
 
Wakulima Tanzania wangejipanga wangekuwa watu wenye nguvu sana. Kama wakulima ni asilimia 70% ya watanzania hakuna mtu anaweza kuchukua madaraka bila ya kura zao. Wakulima inabidi wafunguke macho waangalie nani anasera za kuwanufaisha. Mkulima wa mahindi atayeipigia CCM 2020 aache kabisa kulalamika maana sera zake zimeharibu kabisa maisha yetu.
 
1. Mahindi kipindi cha JK kilo tsh1200 sasa JPM tsh1000

2. Mchele kipindi cha JK kilo tsh 2000 hadi 2400 JPM tsh1400 hadi 1800

3. Maharage kipindi cha JK tsh 2400 hadi 3000 sasa kipindi cha JPM tsh 1600 hadi 2000

4. Bei ya nyama na samaki bado haijabadilika

5. Bei ya sukari imebakia katika tsh 2400 tangu ilipo poromoka mwaka 2016 na chumvi imebakia ile ile

Licha ya hujuma kwenye mafuta ya kupikia bado Serikali imepamban na bei kubakia ya kipindi cha JK.

MY TAKE

Kama hali itaendelea hivi basi ni 2020 JPM atapata ushindi ambao haujawahi kuonekana kwa eneo la maziwa makuu
hivi umemwandikia nani hii aisome?
 
Tafsiri ya ulichokiandika kwa mkulima ni nini? Maisha yake yamekuwa bora zaid au hoi bin taabani? Bei inaathiriwa na "Demand & Supply" kama soko ni dogo kuliko kinachozalishwa bei zitakuwa chini lakini haina maana mkulima anafaidika na bei kuwa nafuu.

Kama bei ingeshuka kutokana na matumizi ya mbinu za kisasa kuongeza kiwango cha uzalishaji pasipokuathiri gharama za uazalishaji hapo pongezi ni muhimu kwa waliosimamia ubunify
 
Unashangilia tambua wakulima wanalia na kusaga meno,wanazalisha kwa bei kubwa wanauza kwa hasara bei ya pembejeo ni kubwa mno.
A very constructive opinion. Serikali iangalie namna gani inaweka unafuu katika gharama za pembejeo za kilimo.
 
Soko la wapi maana jana natoka kununua mahitajo mchele mzuri2500 na beans 2500
1. Mahindi kipindi cha JK kilo tsh1200 sasa JPM tsh1000

2. Mchele kipindi cha JK kilo tsh 2000 hadi 2400 JPM tsh1400 hadi 1800

3. Maharage kipindi cha JK tsh 2400 hadi 3000 sasa kipindi cha JPM tsh 1600 hadi 2000

4. Bei ya nyama na samaki bado haijabadilika

5. Bei ya sukari imebakia katika tsh 2400 tangu ilipo poromoka mwaka 2016 na chumvi imebakia ile ile

Licha ya hujuma kwenye mafuta ya kupikia bado Serikali imepamban na bei kubakia ya kipindi cha JK.

MY TAKE

Kama hali itaendelea hivi basi ni 2020 JPM atapata ushindi ambao haujawahi kuonekana kwa eneo la maziwa makuu
 
Sasa kama gharama za maisha zinashuka mshahara uongezwe wa nini..? Huduma za maji zipo..siku hizi mkazi wa ubungo, manzese, mbagala ndoo ananunua 50/= badala ya 1000/=, umeme analetewa wa senti 10/=, unga na mchele ndio huo bwerere, huduma za afya kaletewa hadi mlangoni vituo vya afya, dawa za kutosha hakuna habari ya kanunue dawa duka lipo nje hapo mkono wa kulia, nauli ziko pale pale..hata mwezi wa 12 zimezibitiwa tofauti na miaka ya nyuma, mwendokasi ulitakiwa upande kwa tsh 2000, ila huu mwaka wa tatu unapanda kwa tsh 650..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi huu mwanzoni nimenunua mchele Dar shs 2,400, maharage shs 2,600. Juzi nilikuwa Kahama unakolimwa mchele nimenunua kwa shs 1,500. Maisha yamebadilika kivipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom