Recent content by Syosaamenye

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tumekubali kuwa wanyonge

    Hata mimi nimesikitika sana kitendo cha mwalimu kupigishwa deki.. kama adhabu za kiutumishi pale mtumishi wa umma anapokiuka maadili au ametenda kosa zipo kwa mujibu wa kanuni hili ni jambo baya sana kutokea.. yule mwalimu amepewa majukumu makubwa ya kuwalea vijana wetu sasa kupewa adhabu ambayo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Idara ya Elimu Sekondary plz jamani nipo Halmashauri ya wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma nataka kuja mkoa wa Mbeya au mkoa mpya wa Songwe
  3. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi nipo Halmashauri ya wilaya ya Kasulu anaehitaji tubadilishane nahitaji kwa walio mkoa wa Mbeya au mkoa mpya wa Songwe tu.. plz ani PM.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

    Telekeza mke wako na wananao nenda kwake mwisho wa siku utaona matokeo yake! yaani mambo kama haya mwanaume ukifanya hata haitakiwi kusimulia wenzio ni aibu.. ngoja niondoke niende zangu nikanywe bia!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sarafu mpya yatolewa leo na BOT

    mkuu hiyo ni note sarafu,??????
  6. S

    JamiiForums Tanzania Shortlist LAPF

    teh teh! pole bro inaelekea tangazo aliambiwa na wenzake.
  7. S

    JamiiForums Tanzania LL.B 1st class holder

    duhu! hatari kweli
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akijifungua kukutana kimwili na mwanaume ni baada ya siku ngapi?

    ni muda mrefu mkuu? muda wote huo bila bila? labda uwe padri...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania port authority watoa nafasi za kazi hizi hapa

    Asante mkuu ila kigezo cha experience hapo ndo watachukua watu wachache na ambao pia tayari wanakazi! experience ya ten years nimeipata wapi nimegraduate mwaka jana na sina ajira.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zile nafasi security officer Tanesco

    Wadau eti zile nafasi za security officer Tanesco Power Plant Ubungo zilizotangazwa December wametoa kwenye gazeti gani? mwenye shortlisted naomba aweke majina ya walioitwa kuna baadhi ya watu wameanza kupigiwa simu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Qualifications Za kujiunga na JWTZ

    Mkuu kigezo cha umri wamewapa nafasi hadi umri wa miaka 33. so ni muda mrefu sana wametoa ni nafasi za wataalam hapo huajiri ma engeneer, daktari, wanasheria na taaluma zingine unazozifaham.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni msinilaumu kwa uamuzi niliouchukua kwa mume wangu

    Hapo dada umeharibu maana na wewe umekua msiri kiasi cha kuzini. ulichotakiwa kufanya tangu hapo awali ni kuenda kupata usuluhishi kutoka kwa mshenga wenu kuliko kujifanya wewe ndio unamaliza matatizo yako kimya kimya na hata kama kwa mshenga ingeshidikana ungekwenda kwa kiongozi wenu wa dini...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kupandishwa Daraja kazini inakuaje wadau?

    asante mkuu!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kupandishwa Daraja kazini inakuaje wadau?

    Nashukuru kwa ushauri wenu wadau.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kupandishwa Daraja kazini inakuaje wadau?

    Asante mkuu.
Back
Top Bottom