Qualifications Za kujiunga na JWTZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Qualifications Za kujiunga na JWTZ

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by chumvichumvi, Oct 9, 2012.

 1. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Katika pita pita yangu kwenye website mbali mbali za serekali nilikuta vigezo vinavyoitajika kwa mtu kuweza kujiunga na jeshi la wananchi wa tanzania ambazo ni
  Askari
  Mtu yeyote ataandikishwa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa sifa zifuatazo: -

  Awe raia wa Tanzania
  Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu..
  Awe hajaoa/hajaolewa
  Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
  Awe na tabia na mwenendo mzuri
  Awe na akili timamu na afya nzuri
  Masharti ya Utumishi
  Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali.
  Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi.
  Maafisa
  Bodi ya Uteuzi wa Maafisa (Officers Selection Board)
  huwafanyia usaili askari wenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea toka Vikosini na Shule za askari wapya (Recruitment Schools).
  Watakaofaulu masailiano hayo hupewa hadhi ya Afisa Mwanafunzi (Officer Cadet), na hupelekwa Chuoni (Tanzania Military Academy) kwa mafunzo ya uafisa kwa muda wa mwaka mmoja.

  kwa ufafanuzi zaidi cheki link hiyo hapo chini
  Kujiunga JWTZ | JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
   
 2. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  We unafikiri yanazingatiwa hayo. Watoto kutoka maporini ndo wataambiwa hivyo.
   
 3. Lukelo First

  Lukelo First Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Hallo MAKOLE hapo kweny umri kidogo panatatiza
  hususani kama utazingatia mfumo na mzunguko wa elimu hapa
  kwetu it is obvious at least 25yrs old you can find graduate
  for first degree,so naona wengi hapa tutaikosa hiyo fursa kwa kigezo umri.
   
 4. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Believe me LUKELO, age is nothing but a number katika nchi hii, sema hutakwenda, sio hatutakwenda kwa sababu unasuffer peke yako kwa kuwa hayupo anayekusimamia.
   
 5. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Vigezo vinazingatiwa sana sema kukona exceptional
   
 6. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Afya njema na safi ni kigezo pia!
   
 7. T

  T.boy Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  tehe mi cna vigezo hapoo
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Jaribu mgambo kijana uwe unanyanganya mama ntilie msosi. teh! Natania tu!
   
 9. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  By the way from the source new in takes zitakuwa mwakani either january mwishoni au feb mwanzoni kwa iyo vijana endeleeni kupasha uko mliko
   
 10. Askari wa miguu

  Askari wa miguu JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Reliable source from the inner circle? Au ndio umeambiwa na 'Sajenti' Mmoja wa pale Ngome?
   
 11. M

  Maliselo JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2013
  Joined: Jan 15, 2013
  Messages: 236
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nafasi zinatoka lini tena wadau?
   
 12. Discory

  Discory Member

  #12
  Feb 22, 2013
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna watu hawakuwa na uwezo wa kwenda Secondary lakini wana uwezo mzuri tuu kiakili, kiafya na akipewa mafunzo anaelewa vizuri
  Nafasi zao kwenu ni zipi?
   
 13. M

  Maliselo JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2013
  Joined: Jan 15, 2013
  Messages: 236
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nafasi zinatoka lini tena wana?
   
 14. Heaven on Earth

  Heaven on Earth JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2013
  Joined: Mar 21, 2013
  Messages: 37,073
  Likes Received: 4,745
  Trophy Points: 280
  na kuoa na kuolewa je + kuzaa?
   
 15. Bongoclever

  Bongoclever Member

  #15
  Apr 5, 2013
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni lazima upitie mafunzo ya JKT Ndiyo ujiunge na JWTZ? Au?
   
 16. M

  Moses Moses New Member

  #16
  Apr 12, 2013
  Joined: Apr 2, 2013
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ilo nalo neno
   
 17. S

  Syosaamenye Member

  #17
  Apr 12, 2013
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu kigezo cha umri wamewapa nafasi hadi umri wa miaka 33. so ni muda mrefu sana wametoa ni nafasi za wataalam hapo huajiri ma engeneer, daktari, wanasheria na taaluma zingine unazozifaham.
   
 18. Mjamaa1

  Mjamaa1 JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2013
  Joined: Apr 9, 2013
  Messages: 3,580
  Likes Received: 1,060
  Trophy Points: 280
  Kuingia jeshini sikuizi yani ni kuna magumashi balaa especially kwa hao wanaojiita profeshino, tafuten kaz nynge, ni ushauri tu!!
   
 19. o

  ochu hulker Member

  #19
  Apr 16, 2013
  Joined: Apr 16, 2013
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo nafasi za kazi ni zuga ukienda mwenzangu na mie hupati wanapeana wenyewe tu.
   
 20. M

  Maliselo JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2013
  Joined: Jan 15, 2013
  Messages: 236
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dnt gv up, kwa wale wanaotaka kuptia jkt leo nlkua na mshaur wa jkt wilaya ya kino kaxema nafac znatoka mwez wa 5 mwshon o wa 6 mwanzon xo anzen kupasha
   
Loading...