Recent content by SYM

  1. SYM

    Kweli Mungu Kaumba!!!: Kitu Cha Ukweli Hicho

    hakuna jipya
  2. SYM

    NAbii Lowassa, Wapi Regina Lowassa???

    tumpe hongera za nguvu kwa kaumua kumrudia mungu ili asamehewe yale anayotuhumiwa
  3. SYM

    Mahubiri kwa Vitendo

    Hivi great thinkers wa kibongo ndio mambo tunayotakiwa kuchemsha ubongo wetu katika maeneo haya ambayo unataka kutupeleka??? Hao definetely hawatakuwa great thinkers bali narrow minded with much time to play around!!!!!!!!
  4. SYM

    Hawa watu wana akili kichwani? hapa si nikutukana Dini ya Kikiristu au???

    kweli kabisa watu wanauona msalaba kuwa ni kuabudu sanamu lakini wanaamini kuwa ni katika huo huo msalaba dhambi zao ziliokolewa kwa yesu kufa msalabani. wanajichanganya sana
  5. SYM

    Ndivyo tunakwenda na wakati?

    Tuanze na watoto wetu, wazazi tukiwaona wanavaa nguo zinazoelekea kuonyesha baadhi ya maumbile yao tuwapige marufuku, wakifika huku walipo hawa hawatafanya hivi. Kwa sasa hivi hawa wameshindikana
  6. SYM

    Mbakaji wa wanawake apata kipigo baada ya kutegewa mtego

    wenye tabia kama yake wajifunze na waache mara moja
  7. SYM

    Mzigo uliomwaga unga wa mzee(Dominique Strauss-Kahn)

    Ameonyesha ukomavu sana kuwa mapenzi hayanunuliwi hata kama wewe ndo unatengeneza na kuyasimamia hayo mapesa
  8. SYM

    Mke wangu ananinyima uroda! Nifanyeje?

    Kama anageuka geuka ina maana anayoandika hapa ni uongo mtupu, hakuna haja ya kumpa ushauri, wastage of time!!!!!
  9. SYM

    He... Hii ndio nini sasa?

    Wengi wamegundua kuhubiri ni sawa na kufanya kazi ktk ngo fulani yaani ni ajira kama ajira nyingine. Watz tuwe macho na madhehebu yanayoibuka kila kukicha!!!!!!
  10. SYM

    Kwa hali hii Kikwete sio rais wa Iringa

    Ikifika siku ya kupiga kura huwa hawa watu wanaishia wapi??????????????????????
  11. SYM

    JF Exclusive: Wawindaji tuliowauzia wanyama na ardhi yetu tukichekelea!

    viongozi wetu ndo wamewapatia hilo shamba la bibi, tusiwalaumu waarabu au wengine wanaoitwa wawekezaji kwani tunawaruhusu wenyewe kwa maslahi yetu binafsi. Watanzania tuamke tukatae unyonyaji huuuuuu!!!!!!!
  12. SYM

    Iko wapi heshima na thamani ya mwanamke anayoililia kila kukicha??? Muone Huyu!

    kwa mtindo huu hata ukimwi hauwezi kwisha???!!!!!
  13. SYM

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Hukuo ndio kujivua gamba la ufisadi
  14. SYM

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Baada ya kamati kuu na secretariat ya ccm kuvunjwa (magamba kuvuliwa) sasa ccm lazima wawe makini kuweka watu ambao wanapiga vita ufisadi si kuweka mafisadi
  15. SYM

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Lazima ccm ijuvie gamba otherwise mambo yataendelea kuwa machungu
Back
Top Bottom