Kwa hali hii Kikwete sio rais wa Iringa

KIMBURU

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
210
189
ALIM0052.jpg ALIM0054.jpg ALIM0040.jpg ALIM0046.jpg
 
Ndo maana tunasema BAADA YA CCM KUSHINDWA KUJIVUA GAMBA, SISI WANAVIJIJI TUMEJIVUA GAMBA TULOVIKWA NA CCM. AKIJA MBUNGE NA BLABLA ZAKE TUNAPIGA, ACHILIA MBALI ALIYEKWISHA KUPOPOLEWA MAWE MBEYA.
 
Ikifika siku ya kupiga kura huwa hawa watu wanaishia wapi??????????????????????
 
Ikifika siku ya kupiga kura huwa hawa watu wanaishia wapi??????????????????????
Huwa wanaishia kwenye uchakachuaji wa "Tume ya Kikwete ya Uchaguzi" na Usalama wa taifa.
 
Tatizo la SINA RAHA hana wanachama kule kisiwani na mikoa mingi ya pwani kwa kuendeleza ukatoliki wake. Halafu hao wote waliokusanyika ukiuliza vitambulisho vya kupiga kura utakuta robo tu ndiyo wenye navyo. Si ajabu hata sisi tunaopiga kelele kwenye jf wengi hamna vitambulisho vya kupiga kura
 
CCM wabuni mpango mkakati kukabiliana na hali hii,vinginevyo iatakula kwao!!
 
Back
Top Bottom