Mahubiri kwa Vitendo

Mpagama

Senior Member
Jan 9, 2011
127
7
Alikuwa anasisitiza nini huyu kiongozi wa dini katika mahubiri yake?
 
Attachments

  • Papa.jpg
    Papa.jpg
    46.3 KB · Views: 374
Alikuwa anasisitiza nini huyu kiongozi wa dini katika mahubiri yake?

Acha ushambengo na umbea wako mambo gani hayo unataka kutuonesha yawezekana alikuwa anaonesha mahali so wakapiga kidole kimoja tu kabla ya vingine kunyanyuka...shida wabongo tunafikiria vibaya tu ndo maana hatuendelei
 
Kifulambute, mi nimeuliza ili great thinkers waweze kutoa michango yao. Kama huna majibu ya kiungwana you better shut your trap, Kama ni ushambengo na umbea ni wewe unayefikiria tofauti.
 
Acha ushambengo na umbea wako mambo gani hayo unataka kutuonesha yawezekana alikuwa anaonesha mahali so wakapiga kidole kimoja tu kabla ya vingine kunyanyuka...shida wabongo tunafikiria vibaya tu ndo maana hatuendelei

Kwanini uweke hisia zako? hapa tunaangalia picha inaonekanaje, vidole vingine kunyanyuka kwanini kianze hicho cha kati? Huyo si ni kiongozi wa wale jamaa walioandamwa na kashfa ile ya kunanihii...labda alikuwa akihimiza libeneke au akiwaasa wapunguze kidogo
 
Kumbe umeleta hoja ukiwa tayari una majibu with negative impression!!!!
 
Hivi great thinkers wa kibongo ndio mambo tunayotakiwa kuchemsha ubongo wetu katika maeneo haya ambayo unataka kutupeleka??? Hao definetely hawatakuwa great thinkers bali narrow minded with much time to play around!!!!!!!!
 
Kwanini uweke hisia zako? hapa tunaangalia picha inaonekanaje, vidole vingine kunyanyuka kwanini kianze hicho cha kati? Huyo si ni kiongozi wa wale jamaa walioandamwa na kashfa ile ya kunanihii...labda alikuwa akihimiza libeneke au akiwaasa wapunguze kidogo

Watu wengine bana hawatakiwi kuwa GT hiyo photoshop wala hakuna haja ya kuweka maswari meeeeeeeeeeeeeeeengi yasiyo na maana yoyote.....Fikiria maendeleo ya kwako, familia yako na Taifa kwa ujumla achana na mawazo madogo hayajengi
 
Alikuwa anasisitiza nini huyu kiongozi wa dini katika mahubiri yake?

Yaani wewe huoni kuwa hiyo picha iko doctored? Kwa kukusaidia tuu ni kwamba hicho kidole cha kati ni kirefu kuliko kawaida na hakishabihiani na vingine.
 
Back
Top Bottom