ASKARI AJIUA IGUNGA
Askari aliyekuwa akifanya kazi kituo kidogo cha polisi tarafa ya Igurubi wilayani Igunga mkoani Tabora, amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia shuka kutokana na kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Askari aliyejiua ametambulika kwa jina la G.4185 PC Geofrey Mwenda (32 ) ambaye...
LOVE, WEALTH AND SUCCESS.
Siku moja mwanamke alitoka nje ya nyumba na kuwaona wazee watatu wenye mvi kichwani wakiwa wamekaa nje ya nyumba yake.
Hakuwatambua na wala hakuwa anawafahamu.
Akawaambia, "nafikiri siwafahamu, ila inavoonesha mna njaa sana. Tafadhali wazee wangu mkaribie nyumbani...
Kitendo cha kituo cha Habari ITV/Redio one kutokukuwa na mishahara ya kulipa wafanyakazi kwa wakati hii ni dhahiri hali ya uchumi ni mbaya sio tu mifukoni kwetu walala hoi bali hata kwa wenye nacho na makampuni,
NINI MAONI YAKO KWA MUJIBU WA HILI TANGAZO
Hii ni shida, inaonyesha jinsi gani maskini wanaongezeka kwa kasi kubwa duniani, sasa sisi third world countries sijui kama hata tutapanda kiuchumi, wachumi waje kutusaidia kuhusu hill.
Mabilionea wanane wanamiliki mali sawa na nusu ya watu duniani
Mabilionea wanane matajiri zaidi duniani
1. Bill Gates (US): mwanzilishi wa Microsoft (utajiri wake $75bn)
2. Amancio Ortega (Spain): mwanzilishi wa Zara na mmiliki wa Inditex (utajiri wake $67bn)
3. Warren Buffett (US)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.