Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 752
- 1,810
Kumekuwa na utata juu ya umiliki wa kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya halotel ,kutoka nchini Vietnam
Huo utata umetokea wapi.?Kumekuwa na utata juu ya umiliki wa kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya halotel ,kutoka nchini Vietnam
Ukijua nani anamiliki utafanya nini...!??...Vietel(halotel) ni kampuni ya serikali ya vietnam wamewekeza hapa nchini...Kumekuwa na utata juu ya umiliki wa kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya halotel ,kutoka nchini Vietnam
Yah,Ukijua nani anamiliki utafanya nini...!??...Vietel(halotel) ni kampuni ya serikali ya vietnam wamewekeza hapa nchini...
Hata mimi nimeona kuanzia hii January, net ipo slow sana.Internet yao imekua slow fullu ufala