Recent content by switmumy

  1. switmumy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kifua bwana!!

    Nisaidie hiyo mbinu dear, maana naishia tu kuvaa braa za masponji ili kuyaboost Sent using Jamii Forums mobile app
  2. switmumy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

    Kwakweli mammy
  3. switmumy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

    Nahisi labda ni tricky tu ili aweze kupata kumjua Mrs Fadhili...vinginevyo akifanya anachotaka kufanya atakua bonge la kiazi
  4. switmumy

    JamiiForums Tanzania Dar Es Salaam tunapoteza utamaduni na mila tulizoachiwa na wahenga

    Hahah umenikumbusha mbali sana, hii kitu ilikua inapoteza sana watoto enzi hizo[emoji23]
  5. switmumy

    JamiiForums Tanzania Tupambane tufe kama hayati na si marehemu

    Pepo ni yako bila kupinga[emoji4][emoji4]
  6. switmumy

    JamiiForums Tanzania Abihudi Misholi vs Boni Mwaitege

    Acha tu akisimulia Mungu alipomtoa na mapito aliyoyapitia ana kila sababu ya kuendelea kumtumikia Mungu..
  7. switmumy

    JamiiForums Tanzania Kusanya nguo usizozitumia wagawie wahitaji

    Hili sio swala la kusoma kwenye msaafu au vipi, kwanini utoe kitu ambacho unakiona wewe hakifai au kilichochoka?? Sasa sadaka yyte ile ya kupendeza lazima kdg ikuumize pale unapotoa. mfano hai ni Ibrahim alipomtoa Isaka aliumia mana alikua ni wapekee imagine angekua na watoto wengi sidhan kama...
  8. switmumy

    JamiiForums Tanzania Kusanya nguo usizozitumia wagawie wahitaji

    Ni kweli sadaka nzuri na ya kupendeza ni ile inayouuma Unapotoa, ila pia kuliko kuweka nguo zikakaa na kuozea ndani ni vyema kuzigawa mana kuna wahitaji zaidi ambao kwao wataziona zinafaa tu..
  9. switmumy

    JamiiForums Tanzania Wadada tembeeni na kanga au kitenge cha dharura

    Hata kama wanawake tuna roho mbaya hiyo imezidi kwakwel, katika mazingira kama hayo walitakiwa kumsaidia tu, mana aibu si kwa yule aliyechafuka tu hata kwao mana nao ni wanawake pia!
  10. switmumy

    JamiiForums Tanzania Movie ya kutisha “The Nun 2018” weka mbali na watoto

    Mmh yani nimejikuta nai-download ghafla...ila sijaona chochote kinachotisha
  11. switmumy

    JamiiForums Tanzania Happy palindrome day 8-10-2018.

    Or Anna
  12. switmumy

    JamiiForums Tanzania Sitaisahau siku hii ya Alhamisi

    Duuu pole sana mkuu, mwisho wa hii habari umenichekesha kidogo ingawa ni habari ya kuhudhunisha
  13. switmumy

    JamiiForums Tanzania Jiko la gesi kuwaka moto

    Pole, mwenyewe hiyo kitu imewahi kunitokea, jiko la kioo ni zuri kwa muonekano na upate original, ukipata fake matokeo yake ndio hayo
  14. switmumy

    JamiiForums Tanzania Msaada zilipo ofisi za RITA (Registration, Insolvency and Trusteenship Agency)

    Wametoka muhimbili ndio wameamia posta, na hilo jengo linajulikana kama rita tower
Back
Top Bottom