switmumy
Member
- Aug 10, 2015
- 69
- 53
Nisaidie hiyo mbinu dear, maana naishia tu kuvaa braa za masponji ili kuyaboostMoja ya kitu nilikuwa natamani ni kuwa na ziwa kubwa kubwa hivi lakini nilikuwa najiuliza nalipataje manake nikijiangalia naona sina dalili ya kuyamiliki makubwa nayoyataka until i met this rafiki akanipa mbinu ya kulifanya liongezeke kidogo
Ndio kama hivi sa hivi ninalo hata nikivaa naonekana angalau
Sent using Jamii Forums mobile app

2017 model