Recent content by switch Off

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu atanipeleka Gerezani kwa roho mbaya

    Mkuu umeo? au unaropoka tuu, vipi NGOMA ikienda MAHAKAMANI na yeye akakazia kabakwa. hujui kwamba wanawake wanasikilizwa na kuaminika zaidi kuliko sisi
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu atanipeleka Gerezani kwa roho mbaya

    Habari zenu wauu lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

    Ukiwa Bado unasubiri Dala dala yeye akaja na ki IST chake...Miaka 40 Unasema Ki IST...Unazeeka na Upumbavu Wako.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale IST inauzwa

    picha
  5. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale IST inauzwa

    picha
  6. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale IST inauzwa

    *TOYOTA IST YEAR OF MANU 2005 ENGINE CC 1290 REG NUMBER #DHJ *PRICE 8.7M * IKO VIZUR IWAHI[emoji91] 0719921552 call Mimi ndiye mmiliki ,Nimefulia sana Nahitaji Hela
  7. S

    JamiiForums Tanzania Huyu Jamaa kweli kafanana na Diamond Platnumz

    Leo nimebahatika kutazama video ya huyu Jamaa alie fanana na Diamond..mwanzoni sikiweza kutofautisha yaani nilijua ni Mond mwenyewe Toa maoni yako kuhusu huyo Jamaa !
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je mwanamke anahusika vipi kuwa chanzo cha mali za mwanaume

    Habari wakuu..kuna sehem nimepita nimekuta mwanamke ana lalamika kuwa ameachana na mume wake mwaka 2016. Anadai hakudai Mali kabisa ila kwasasa anataka aanze mchakato wa kudai Mali ili apate mgawanyo wake..anadai yeye ndie alie kuwa chanzo cha mume wake huyo kufanikiwa kimaisha na kuwa na mali...
  9. S

    JamiiForums Tanzania TCRA hivi mmeshindwa kufuatilia YouTube channels contents zilizosajiliwa?

    Acha watu wapige hela maskini wewe
  10. S

    JamiiForums Tanzania Taa hii ya dashboard ina maana gani?

    Shukrani mkuu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Taa hii ya dashboard ina maana gani?

    Ahsante mkuu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Taa hii ya dashboard ina maana gani?

    Habari wakuu, Hii taa ya bluu Ina maanisha nini? Imekuwa ikiwaka muda ninaowasha gari na inapotea baada ya gari kutembea kidogo Naomba kujuzwa ina maana gani?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye gari IST njoo uniuzie

    Pia kama una Subaru Impreza itanifaa mkuu..sio lazima its
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye gari IST njoo uniuzie

    Mshtue mkuu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye gari IST njoo uniuzie

    Habari wakuu Nahitaji gari ya kutembelea hapa mjini Dar. Gari iwe imenyooka sana na bajet yangu haizidi milioni 8 NB. Nataka gari nzuri iliyo nyooka na yenye muonekano mzuri
Back
Top Bottom