Mwenye gari IST njoo uniuzie

Mwenye gari IST njoo uniuzie

switch Off

Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
50
Reaction score
205
Habari wakuu

Nahitaji gari ya kutembelea hapa mjini Dar. Gari iwe imenyooka sana na bajet yangu haizidi milioni 8



NB. Nataka gari nzuri iliyo nyooka na yenye muonekano mzuri
 
Screenshot_20200622-213557_Instagram.jpg
Screenshot_20200622-213557_Instagram.jpg
 
Pia kama una subaru impreza itanifaa mkuu..sio lazima its
Angalau Subaru Impreza, Arusha Subaru ndiyo gari zetu, ila pia IST zimekua nyingi balaa ongezea hela kidogo ukachukue impreza mpyaaa, achana na magari ya mikononi bongo yana matatizo utajuta ongeza hela hata kama ni hito ist ongeza milioni 2 unapata gari mpyaa toka japan,
 
Kwanza sijawahi kuliona pale. Kuna siku nilikuwa kule juu (P) if you know you know [emoji125][emoji38]
[emoji707] Ziko floor ngapi pale [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wale walinzi wakakuangalia kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unavyoingia na camera ziki roll na kukuzoom kabisa, basi walinzi hawana kazi
Camera hazina shida sababu sikufanya kibaya...

Me nilikuwa busy kumtafuta mnyama lakini wapii mpaka nikahisi labda amebaki zizini
 
Camera hazina shida sababu sikufanya kibaya...

Me nilikuwa busy kumtafuta mnyama lakini wapii mpaka nikahisi labda amebaki zizini
Ukishamuona itakua balaa kila nitakapo , nitabadili na rangi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom