Recent content by SWAZI

  1. S

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Heko....!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    wangapi washakimbilia kenya tayari?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Albanie Marcossy atoweka kunusuru maisha yake

    inawezekana kabisa akawa katika kundi la watu 11 ambao washahamia Kenya
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hii inaweza kuwa kubwa kuliko EPA

    PASCO alishaelezea zaidi kuhusu haya yote
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania ilinufaikaje na ule mkutano wa WORLD ECONOMIC FORUM 2010?

    Hivi kuna idara ya serikali au Chuo kikuu ambayo inafanya tathmini ya ule mkutano uliozalisha foleni na karaha hapa Dar?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kikwete atampa ulaji gani Balozi Mwanaidi Maajar?

    Hawezi kupewa kazi kwa sababu inasemekana kuwa huyu mama na Membe hawaelewani na ndio chanzo cha yeye kutaka kuacha kazi kwenye kituo chake cha mwanko huko London
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tenda ya Bomba la gesi ya Mtwara

    kwa nini waandishi wetu hawaulizi haya maswali kwa wahusika?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vurugu ya gesi Mtwara ni hiki

    kwa nini sera iandikwe kwa kiingereza?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mh Membe unajua kama Balozi zetu nje hazijulikani?

    kwenye hili Membe ameonewa sasa yeye anahusika vipi na mtandao ? yeye si mtaalam wa IT au kuna lingine?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vurugu ya gesi Mtwara ni hiki

    Serikali kwa kupitia kwa Muhongo na wasomi wajuaji waliojazana kule kwenye nchi yao ya Mgogoni/Kivukoni waliamua kuandika sera ya gesi lakini la kushangaza ile sera iliandikwa kwa Kiingereza kigumu kwa maslahi ya watu wa nje ya nchi na ruling elites. In short hakuna sera ya gesi iliyoandikwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania biashara ya Tanzanite

    Hii inalipa au? Kuna mtu kaniambia anao mzigo nimtafutie masoko ya nje ya nchi lakini mimi sijui cha kufanya kwani naskia ma Chinese ndio wanunuzi wakubwa lakini hapa bongo nako naambiwa kuwa mzigo umekuwa mwingi mno kiasi cha kuwa hakuna soko hebu wajuzi tuwekeeni sawa juu ya hiii biashara.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Na humu JF pia...jiulize alitukanwa weee humu sasa hivi JF inatangaza VODACOM...kama huamini tazama hapo chini. Huyu sasa amekuwa king maker huko Kenya....
  13. S

    JamiiForums Tanzania Sacrifice ya wana Lindi/ Mtwara kwa Tanzania

    Hivi hawa wa Tanzania wenzetu toka mikoa ya Lindi watu wa Lindi na Mtwara walifanya sacrifice zipi kabla, wakati baada ya Mkoloni? Je kisiasa, Kitamaduni (zaidi ya Tinga Tinga) na Kiuchumi (zaidi ya Korosho, Gesi na Mafuta....SAGCOT, Mtwara corridor) kuna kitu gani zaidi ambacho hawa wenzetu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania naomba ramani ya nyumba!

    mimi kiwanja changu ni sqm 610 je naweza kujenga nyumba humo?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    jamani nina viwanja viwili kimoja smq 350 kingine sqm 619 Je naweza jenga nini kwenye hivyo ?
Back
Top Bottom