simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,764
- 9,680
Ndugu zangu wamakonde, Wamakuwa na Wayao tujiulize maswali madogo tu hv gas ikibakia kwetu mtwara bila uwekezaji na power plant ile ya mdenga karibia na Olam ikafungwa je tutakuwa tumenufaika chochote?
Hv magari ya halmashauri muliyoyachoma moto ni magari ambayo yanatokana na kodi zetu za korosho hvo ni mali zetu wenyewe tutambue tumejirudisha nyuma mara mia...hakuna gari za wagonjwa zote zimechomwa moto haya tutapelekwa ndanda, nyangao hospital na magari toka wapi? Hz vurugu zitapita na zitaisha ni upepo tu lakini tayari tutakuwa wenyewe na shida zetu.
LEO wanaotushangilia ni hao hao walikuwa wanatudharau na kutub
Bure kabisa weye. Nyie ndio type mwanarahati Malcom X aliwaita "house niggers" ambao mna identify with the boss more than the boss identifies with himself. Ndugu wanamtwara ni "field niggers" they will gladly burn down the cotton plantations kuleta mabadiliko na haki. Viva Mtwara.