Recent content by SWAZ

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

    Hii n tmu moja wanajarbu kucheza na akil za watu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uvaaji wa hijab kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania

    Kwanini mnakomaa wanaovaa hijabu ndo wa din wamewatenga wenzao je una uhakika gan...kama wenyw ndo wanatengwa kutokana nakuvaa kwao hijabu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni Kweli Jumanne ni Siku ya "Nuksi"?

    Daaah hembu jarbu kuheshimu iman za watu kdgo hata kama ww unajiona umkamilifu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tren ya tazara kuchelewa kuondoka, wanajeshi watakapakaa kwenye vibanda vya dongo.

    Hahaahhaa umenifurahisha mkuu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards

    Naona wengne bila kuongelea siasa na CCM hapat aman kweny mamb Kill music awards ushaingza mambo ya wazisiri
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Namna yakufuta PM

    Wanajamvii naomba mwnye kuelewa hli jambo anielekeze mana nimekukuruka sana bila mafanikio hivyo bas naomba anefaham anilekeze namna yakufuta PM.Asanteni
  7. S

    JamiiForums Tanzania Dr Mzizimkavu alinipa tiba ya koo langu lililoshambuliwa vibaya na wadudu wakali

    Shukran sanaa dokta ntafanya ivo Mungu akubariki
  8. S

    JamiiForums Tanzania Dr Mzizimkavu alinipa tiba ya koo langu lililoshambuliwa vibaya na wadudu wakali

    Dokta mzizi mkavu na mm naomba msaada wako hiyo thread ya dawa ya koo ilinipita sikubahatika kuiona na mm nina matatzo ya koo langu linanisumbua nikienda hospital nashindwa kupata tiba ya kudumu kwan baada ya mda linarud tena kweny hal yakama kuwa na kitu kisichoshuka na mida mingine huwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania BIN ZUBEIR sisi wanachama na washabiki Pia tunakuomba tuachie Yanga yetu

    Hii tmu yenu ya IYENA IYENA yebo yebo mna matatzo sanaa mara shaffii dauda mara cjui clouds haiwepend kwahyo hlo litmu lenu lisisemwe kama likboronga liwe linasifiwa tu kwasababu ni la vigogo wa Iyena iyena
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Kweli TBC wanaweza kutufanyia kitu kama hichi..!!??????
  11. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli focus vikoba wanaweza kukupa mkopo ndani ya dakika 55 tena bila riba?

    Ni kweli hyo ni moja ya namba yao waiz kweli
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mh.Dr. Jakaya Mrisho Kikwete achaguliwa Kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2013

    RAIS KIKWETE ACHAGULIWA KIONGOZI BORA AFRIKA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi katika Maendeleo Barani Afrika kwa mwaka 2013 . Heshima hiyo kwa Rais Kikwete imetolewa na jarida maarufu la kimataifa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli focus vikoba wanaweza kukupa mkopo ndani ya dakika 55 tena bila riba?

    Basi watawakamata wengi sanaa mana kuna baadhi ya wasanii wa bongo fleva wanawapigia promo kijanja ingia hapa uone maelezo yao http://focus-vicoba.wapka.mobi/registration_site.xhtml?do_id=
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli focus vikoba wanaweza kukupa mkopo ndani ya dakika 55 tena bila riba?

    Kama sijakuelewa vizur hapa mkuu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli focus vikoba wanaweza kukupa mkopo ndani ya dakika 55 tena bila riba?

    Habari za humu ndani ngugu zangu! Nadhani mlio wengi mtakuwa mna ufaham kuhusu hii taasisi ya mikopo inayoitwa VIKOBA,,kuna kitu nimekiona mtandaoni kuwa unaweza kupata mkopo ndani ya dakika 55 baada yakutoa Akiba yako ambayo inaanzia elfu hamsini mpaka milion moja,,na dhamna ni shilingi laki...
Back
Top Bottom