Recent content by swaya

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji yupi aliyekuvutia katika mchakato wa uchaguzi mkuu 2015?

    Spencer Lameki nomaaa
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Ni kweli mkuu lusato mim niko mbozi hiz wiki mbili wanakata siku moja kuanzia saa 2 asubuh had saa 12 jion siku inayofuata wanaishia. Jamani hawa Tanesco watuambie kama ni mgao waseme wananchi tujue kuliko hiv.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

    Ina maana Lord alikuwa na vigezo hivyo alivyovitaja yeye!!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu amnyonga mtoto wake na kisha kujinyonga

    Hasira zake yeye na mkewe anazipeleka kwa mtoto asiye na hatia hata kidogo.. So sad
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Friday Night Live (FNL) cha EATV kinavunja Maadili

    Ki ukweli mi nimeangalia kipind jana ule uvaaji na uchezaji wa hawa wadada ni shida..
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada tatizo la simu Samsung s4 Kupata moto

    Wadau nilipata betry og saizi tatizo limeisha simu haipati moto pia charge inakaa muda mrefu sana tofauti kabisa na betry ya kwanza viva jamii forum
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je, huyu ni kahaba au mke?

    Achana nae huyo atakupa presha bure kwanza sio muwazi.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada tatizo la simu Samsung s4 Kupata moto

    Ahsante kwa ushauri wakuu ngoja nifanye mchakato wa kutafuta betry origan nikishindwa au nikifanikiwa nitarudi tena kwenu wadau.viva forever jamiiforum...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada tatizo la simu Samsung s4 Kupata moto

    Sor mkuu sijakuelewa hapo ulipoandika og...nifafanulie please nielewe..
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada tatizo la simu Samsung s4 Kupata moto

    Ni kweli mkuu hata mim nahic inaweza kuwa betry..sasa najiuliza betry inaweza sababisha namna gan simu kupata moto?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada tatizo la simu Samsung s4 Kupata moto

    Niliinunua voda shop mliman city mkuu mwez wa sita mkuu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada tatizo la simu Samsung s4 Kupata moto

    Wakuu naomba msaada kwa hii simu yangu ni mwez wa tatu tu tangu nimeinunua lakin cha ajabu ninapoitumia mf nikiwa online upande wa juu wa screen inapata moto ajabu halafu nikiacha kuitumia haiwi ya moto pia nimeifungua juz nimekuta betry imetuna nifanyeje jaman msaada please.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Dtv ndani ya Azam tv

    Wakuu dtv kuanzia juzi inaonekana kwenye kin`gamuzi cha azam thanx uongoz wa azam.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Unatunzaje Pesa yako unafunga Biashara jioni?

    Aisee hata mimi huwa napata shida sana wakati wa kufunga biashara yangu jion kwani kuondoka na pesa usalama ni mdogo ngoja nifanye mpango wa kununua safe.japo kwa sasa huwa naondoka nazo hivyo hivyo kiroho ngumu.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi nchini inasikitisha

    kwa kweli bei inasikitisha mkuu katika wilaya ya mbozi leo nimetembelea sokon nimekuta bei mpya ya mahind mapya kwa gunia ni sh 27000/= sasa kwa mtindo hii kilimo kinaweza mkomboa mtanzania kweli.wakati gharama za uzalishaji kuanzia mbolea,madawa na gharama za kulimia ziko juu mno!!!
Back
Top Bottom