Recent content by Swat

  1. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyakazi wa Azam Tv, Rahabu Fungo amefariki Dunia

    Alifariki kwa ajari ya gari Kawe,Dar
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

    Story nzima inaonesha na wewe una ka uhuni flani! Unaendaje kwa mama wa rafiki yako unakaa kuanzia mchana mpaka saa 3 usiku. Mnaongea nini cha kuchukua muda huo!? What do you share in common!?
  3. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Ni kweli. Kumbuka amekufa TB Joshua, wamekufa Popes wa Rome, wamekufa ma Rais nk! Ni fumbo kubwa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama tumemuacha huru aliyesababisha vifo pale Moshi huyu 'Mfalme' wa Mwanza tunamtesa kwa lipi?.

    Ungetafuta mashtaka yake kwanza uyaelewe.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Baby Kabae ana mvuto mno ni kati ya wanawake wa daraja la kwanza Tanzania

    Yupo wapi siku hizi!!!? Simuoni kwenye kipindi cha Clouds 360!!?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

    What's behind Mona Lisa smile? The secret behind the Mona Lisa is that the "happy" part of her smile is actually buried in a low spatial frequency pattern. So if you're not looking directly at her mouth, her smile looks cheerful. But when you look directly at her smile, parts of it disappear...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Happening now at Kondo Bahari Beach: Marehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo

    Ila mkuu na uongo pia hujipenyeza kwa excuse hizohizo!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu nyota za angani

    Thanks mkuu.
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dah! Wakuu, nahisi nimegongewa

    Kwani bikra huwa na phase one na phase two?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mambo ya ajabu niliyoyaona Msumbiji (Mozambique)

    Ni kasumulu sio Kamusulu mkuu!
  11. S

    JamiiForums Tanzania The World is a flat plane and not a globe

    Dunia ni duara kama tufe. Msidanganywe na conspiracy theories. Wataalamu wa kurusha long range rockets au ballistics missiles wana formula moja ambayo lazima upate Earth Curvature at a certain point,ili kudondosha kombora lako unapotaka. Earth curvature ni mpindo au mduara wa dunia ulivyo. Sasa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kifahamu Kifo cha Utata na Kusisimua cha Mwanaume wa Somerton: The Somerton Man (TSM)

    Story nzuri.Ukiweka part 2 ni tag mkuu!
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nishauri: Mke wangu kanijibu yeye ni mrembo, anatongozwa kila siku na kunambia maisha anayaweza sio lazima kuwa na mimi

    Just focus on your job and objectives. Tafuta mrembo mwingine mstaarabu atakaekuwa anakutimizia na kukuliwaza nyumbani. Msahau huyo sunguratope,maisha yaendelee.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani

    Mkuu umechanganya desa kidogo. Katika kiswahili Sifongo ni aina ya kitu kinachonyonya kimiminika kinaweza kuwa kama dodoki au godoro. Siki ni aina ya asidi ambayo yaweza kuwa sumu au la. Kwa kawaida siki ni chachu hivyo ukiiweka kwenye vidonda huleta maumivu. Inavyoonekana walikusudia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naanzaje kuacha kunywa Bia?!!!.

    BEER,BIERE,CERVEJA!
Back
Top Bottom