Happening now at Kondo Bahari Beach: Marehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo

Akisema serikali inaficha data haimaanishi kwamba anazo data zake za maambukizi, waliopona na vifo. Hapana!

Serikali kuficha data ni kwamba haiwezekani tangu April 22 kusiwe na data! haijalishi data hiyo ni nzuri au mbaya isemwe tu baas, nadhani since tarehe hiyo hapo hakuna taarifa yoyote, basi hiyo ndio data tunayoitaka sisi.
Kumbuka zile ni reported case,unajuaje labda sirikali inapima walioonyesha symptoms tu ,na sio kila mtu kila mtaa ???au wamejiwekea utaratibu kwamba tutakuwa tunatangaza kila wiki???au wanaweza wakawa wanapima watu harafu kila mwezi ndio wanatangaza???
Kumbuka yale sio matangazo ya vifo ni reported cases tu.
 
Utapataje umaarufu na ID fake?
Ndio maana nikasema JF kuna vilaza wengi,yaani jitu linaenda kupiga picha makaburi ya wapendwa wa watu waliolala linatuletea hapa kudanganya watu kwmb nimakaburi ya waliokufa na Corona kwa nn asiende piga kaburi la mama yake au baba yake mzazi ndio alipost hapa??
 
Mimi nikiwa mojawapo ya mfiwa tumetokea hospital ya Amana tumeambiwa mwili wetu utakuja makaburi ya kondo bahari.beach tutangulie maaana marehemu wetu atazikwa na surikali.

Sasa tumefika kondo tumekuta familia tofauti.tofauti zinasubiri marehemu wao, hizi hawa ndugu wana majeneza yakuweka ndugu zao.

Aisee, huu ugojwa unaua tujikinge na tuzidi kuomba.

NB: kama unapita mitaa yaya kondo bahari beach jikinge vaa mask.

Update..




Update...
Kwa hiyo ukitoa hao 10, waliobaki wengine woooote ndio 6 tu?
 
Dada umehoji swali la msingi sana!

Yani tunaambiwa ushuhuda wa maziko tu lakini, ushuhuda wa ndugu kufiwa na wapemdwa wao kwa corona hatusikii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi kwa mfano wewe unaishi chamazi halafu watu wanne wakafa kinyerez 2mwezi, 2sinza, 1kariakoo, 2kibamba, 3kitunda ivi unadhani ni rahisi Sana taarifa kukufikia na dar ilivyo kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom