Pole sana Kwani bado unampenda Sana. .
Potezea tu msamehe maisha yasonge mbele
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa takribani miaka miwili unasubiri papuchi nawewe ni mjanja kweli??[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee Shame on You yani umechokoza na kuleta mada ambayo haisiani zaidi ya kuonyesha bifu lako na waseminari sijui kama mpaka saivi kuna mgogoro huo maana Mzumbe walikua wana tudiss sana Umenikumbusha mbali kiasi ila uliko gusa hata hakuhusiani ni Wivu wako tu.Bytheway Kwanza nikwambie tu ata iyo Event iliyo nilkutanisha na uyo Dem ilikua ni yenu mlipanga muwe na madem zenu kilay ila waligomaga kabisa kisa hawakua na reason ya maana kuwakata the only thing wanawataka Waseminari Basi sisi ni nani hadi tukatae? tukaenda bwana na hawakutana shule yoyote zaidi yetu sisi tukasema sawa hamna shida tukaenda.
Walichokua wanasema ni Kwamba Nyie ni mlichokua mnaweza ni misuli tu (and i appreciate it) Ila wengi ni Washamba shule yenyewe iko Porini hamkuwa Smart mpo hovyo hovyo tu. Mnanuka wengine walikua hawaogi ata na vile kucheza na nyie walikua hawawezi kabisa hamshawishi. This is true ata nikienda moro huwa nawaona mpaka sasa ivi mpo mpo tu ur not smart at all. wakaita watoto wa mjini sie tukaenda kiroho safi. Mbona alisema hayupo tayari nikasubiri muda ulipo fika tulifanya sema umekurupuka na hisia zako za Wivu mkuu kumbe bado una ule ushamba wako wa Mzumbe tu..[emoji23][emoji23]sasa form 4 nimesubiri alipo maliza 6 nikawekaa [emoji23]
Mind you watoto wa kike hawapendi wanaume wanao nuka na hovyo hovyo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ni uzembe haswaNimeishia pale uliposhindwa kuvunja bikra! Nadhan yalioendelea huko mbele itakua ni uzembe wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaa dah nomaLabda kosa ni kama lako tu la kutokukutaarifu kuwa alishiriki kimwili na mtu mwingine mkiwa kwenye kiapo kisicho rasmi. Tofauti na hapo huna hoja ya msingi,mwili ni wake na maamuzi ya bikira yake anayo yeye. Wewe una umaalum gani uonjeshwe wewe,wasionje wengine?Wewe umsaliti,yeye akutunzie? huo ni ubinafsi wa hali ya juu.
Kusubiri nilisubiri and i found her Virgin Right? iyo inatosha kukuthibitishia Nilikua nampenda na Alikua ananipenda Na bado tunapendana That's all.Sasa takribani miaka miwili unasubiri papuchi nawewe ni mjanja kweli??
Jisemee kimoyomoyo, "Hakiyamungu natetema"
Ndo maana nilikimbia maua seminary, sikutaka nije kuwa zuzu kiasi yako chalii
Nimeishia pale uliposhindwa kuvunja bikra! Nadhan yalioendelea huko mbele itakua ni uzembe wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimchunguza sana bata humli katu. Chukulia nyama ni bata kwisha. Usichunguze huwa anakula nini hutamla. Mchukulie ka mwenzi wako unayempenda. Mabaharia asilia hawachunguzi maisha ya juzi kati kwa aliyempata kwani hata yeye anajua kuwa, Si mkamilifuMmh maybe but kwa nini ashikwe na Kigugumizi cha ghafla? baada ya kuzunguzia swala la usaliti?
Ukimchunguza sana bata humli katu. Chukulia nyama ni bata kwisha. Usichunguze huwa anakula nini hutamla. Mchukulie ka mwenzi wako unayempenda. Mabaharia asilia hawachunguzi maisha ya juzi kati kwa aliyempata kwani hata yeye anajua kuwa, Si mkamilifu