Recent content by swaswa

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya kutembea na mke wa mtu

    Kuna wengine wakikuhisi tu lazima uliwe kiboga na masela yaani unatekwa then wanakusodomize sasa imagine umehisiwa tu sasa ukikutwa live utapasuka msamba
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kukojoa tangu nianze kusex

    Tuambie na maumbile yako yapo vp isije kuwa umekeketwa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nkrumah, UDSM: Mjadala wa kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere; Dr. Bashiru na Mzee Lowassa waumana

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku amesema ni vyema yakawepo mabadiliko ya Katiba kwa sababu wananchi hawaridhishwi na mambo yanayoendelea katika chaguzi mbalimbali nchini. Ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 12, 2018 akichangia mjadala katika mdahalo wa...
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utofauti kati ya Wanaume na Wanawake katika kukaa bila nguo mbele ya wenzao

    Inategemea na Mazingira wengine tukienda mtoni au bwawani kuogelea tunajiachia tu , labda mwenye govi ndo anaogopa kuvua nguo
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini maana ya neno Ndoa

    Wakuu habari zenu? leo kwenye group flani hivi la Whatsap tumebishana Sana kuhusu ndoa ni nini? na imeandikwa wapi kwenye Biblia hii ikafanya mpaka wadadisi wakajaribu ku Google ili kupata jibu lakini jibu halijapatikana, msaada wenu tafadhali naomba kujua ndoa ni nini na kitabu gani kwenye...
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

    Hivi unajua Mwanaume kwa Mwanamke ni Mfupa kwa Fisi , ndoa Haina Mazoea Kama unahisi Kuna vitu unavitaka kutoka kwa Mumeo inabidi uwe mbunifu kila siku inatakiwa uwe romantic yaani akikuaona time kitu kinasimama mfanye awe rafiki inatakiwa ujilize kimahaba kila wakati ili kumvutia na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Manispaa ya Ilala ndio kinara wa ukusanyaji mapato, ya pili Kinondoni, ya tatu Temeke, ya nne ni Dodoma.

    Dodoma wanauza Sana viwanja ndo maana Mapato yamekuwa makubwa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Manispaa ya Ilala ndio kinara wa ukusanyaji mapato, ya pili Kinondoni, ya tatu Temeke, ya nne ni Dodoma.

    Ameongelea Manispaa au Halmashauri za Majiji
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufanyaji wa tendo la ndoa kwa wanawake wajawazito

    Inabidi apewe na ushauri wa kutumia style ya kugegeda Mwanamke akiwa mja Mzito Kuna style huwezi fanya
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna utani wa kuitana nyumba za Wageni?

    Hata mm Kuna mtu namfanyia utani
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaki kabisa mume mlevi

    Kuna tofauti Kati ya mlevi na Mnywaji .....Mlevi ni yule anayelewa kupindukia anaweza akazima barabarani, akajikojolea, hata kujinyea. Lakini Mnywaji anajitambua muda wote na anakuwa makini Na ukikuta mwanaume hatumii kinywaji lazima starehe yake kubwa Ni kujig jig , almost hawa Watu wanapenda...
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mume au mke kuleta marafiki zake wa jinsia nyingine ndani ya nyumba?

    Hii Mara nyingi hutokea hata mkiwa out mfano Disco au kwenye harusi Mtu anaomba kucheza muziki na mkeo au anakuja rafiki yako was kike kumuomba mkeo akacheze na wewe
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

    Unakaribia kuwa mtoto wa Watu mchele mchele ipo siku utapewa pombe za kukufanya ulale fofofoo harafu asbh unajikuta umepasuliwa mayai
  14. S

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais Magufuli wawajibishe Viongozi na Wasimalizi wa MV. Nyerere

    Punguza Munkari si unajua tuna msiba wa kitaifa harafu umetokea kwenye Jimbo la Mbunge wa Chadema ....Anataka kutoa Salamu za rambirambi
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi walipiga kura na kuzijaza kwenye maboksi. Hatutashiriki uchaguzi utakaoitishwa na NEC

    Kwani hujaona Makonda akishangilia na Policcm
Back
Top Bottom