Recent content by swampa

  1. swampa

    JamiiForums Tanzania Valentine Day: Wasio na wapenzi watafanya nini?

    Kwa wakristo ni siku ya kwanza ya kwarezma so wataenda church
  2. swampa

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki tuache kuhama kwasababu ya kutafuta faraja, vituo vya Karismatiki vipo kwaajili hiyo

    Watu wanapenda Sana miujiza ya fasta fasta na sio kumjua Mungu zaidi, karismatiki wapo vizur kuliko ata tuzaniavyo
  3. swampa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Picha ya chet au
  4. swampa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Natafuta
  5. swampa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Nina degree ya procurement and logistics management, nshasagiliwa na Bodi ya manunuz na saiz naendelea kufanya mtihan yao na nipo stage five. Msaada
  6. swampa

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kutongozwa na wanawake/mabinti njooni tupeane uzoefu

    Hahahahahaha
  7. swampa

    JamiiForums Tanzania Ajira za muda za udadisi takwimu NBS

    Nshawai Fanya kaz zao pia, watakua wanasubir Pesa maana mnavoanza kaz mnalipwa kabsa
  8. swampa

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeomba kazi Zoom Tanzania akaitwa interview?

    Mm pia nshawai omba na wakanambia nitume 25000 ckutuma na wakanambia wameairisha usail
  9. swampa

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Tatizo la kujieleza kwenye usaili wa kazi

    Asante kwa muandaa mdahalo, ck nyngne tunaomba sample ya maswal ya interview na majibu yake jaman ili tuweze kusaidiana ktk ujibuj
  10. swampa

    JamiiForums Tanzania Lowassa "nitaanzisha benki ya bodaboda"

    Io bank itasaidia wale wenzangu na mm ambao shule iligomaga ata ije ya bure,
  11. swampa

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ccm ni nn iv? Mm na familia yangu tutachagua tu ukawa
  12. swampa

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza Kuongea Kiingereza mbele ya Kadamnasi kidogo nizimie

    Hahahaha, uyo ticha ni atar mwee
  13. swampa

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini hili, nisaidieni

    Every thng happen wth a reason, so neva give up, amin kuna nafas yako Mungu anakuandalia
  14. swampa

    JamiiForums Tanzania WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    Sasa kaka ukimwacha nan anapenda kuoa mwanamke aliyezaa tayar? Cha mcng mwoe na uyo mpnz wako mwache aolewe na mwngne
Back
Top Bottom