Recent content by sw33tboy

  1. S

    JamiiForums Tanzania CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    yule bwanamdogo hatafuti namba bali makocha ndo wanakazi ya kutafuta wapi acheze
  2. S

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    jamani jana okwi alicheza?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kapombe mwanamichezo bora kwa lipi?!!!

    dogo anaweza maana majukumu anayokabidhiwa hata huyo kaseja hayawezi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Maximo Kocha Mpya Yanga

    hapa hatupo kuangalia lank tunachota nivikombe katika kumbukumbu zangu huyu max ndie tulie mzomea. nahivi mnavyo jua kurusha ngumi yetu macho
  5. S

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    dakika ya ngapi wakuu na ninani anaongoza
  6. S

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    walioko uwanjani mtujuze game la simba
  7. S

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    wachezaji wa yanga wampiga lefa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    boko aipatia azam gori la kwanza
  9. S

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    azam wanyimwa penati
  10. S

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    mpira umeanza
  11. S

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    tayari timu zinasha
  12. S

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    na bado mwisho wasiku tutawaona muko nafasi ya tatu huyo ndo spesho one
  13. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli bila madaraka yukoje?

  14. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi au ni serikali ndani ya Jamhuri?

    wakuu nisaidieni kumetokea ubishi mkubwa kunamtu anadai zanzibar ni nchi ni ugonvi mkubwa mpaka jamaa kaweka fedha
  15. S

    JamiiForums Tanzania mtoto kuzariwa na meno humanisha nini?

    wakuu nataka msaada mwenzenu nimeachwa mdomo wazi baada ya kumuona mke wa jilani yangu kajifungua mtoto akiwa na meno mawili mdomoni. hii hutokana na nini na inaweza kuwa na athari gani msaada plz
Back
Top Bottom